zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hta kutumia intelligence nayo ni tactic au sijakupa mfano wa jinsi UG walivyocounter na kuhalt terrorist attacks huko jinja !!! Kwani hao kenya hawana intelligence huko somalia??una argue kijinga sana ata unatia aibu...Hivi nkuulize,uko na any millitary experience?alafu tactics unazoongelea ni gani,maana haueleweki?unazungumzia tactics za jeshi kule somali wanakopigana au kuhusu mambo ya intelligence?sasa kupenya kwa alshabaab kenya na tactics za kupigana kule somali zinashikana vipi?chambua kitu kimoja mwanzo
Tactic nayoongelea ni jinsi ya kuandaa formation ya kumshambulia adui..... ndio hapo kenya hawawezi na ndio maana nmesema earlier kuwa kenya wana casualties wengi somalia kuliko AMISOM combined hujawahi kujiuliza???
Sina military experience ila ni observation ya kawaida tu na thats why nmesema kenya ni best army in terms of resources ila tactically rwanda na UG hawana match hapa E africa but sielewi nni ambacho mnabisha wakati u know tactics develop from experience and as far aa am concerned rwanda na ug zimepigana more battles na rebels/insurgents kuliko kenya au TZ ssa mnabisha nni kuwa mmezidiwa experience??? Wwe niambie kma kenya ingeweza ingia DRC na kupiga kuanzia kivu hadi kinshasa in 2 weeks kma alivyofanya kagame tena twice afu ndio uje hapa ujisifu kuwa kenya inatactics.