Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kenya imepanga kutumia takribani dola milioni 39 kupanua mtandao wa reli ya Standard Gauge Railway (SGR) kuelekea Tanzania, hatua inayolenga kuimarisha muunganiko wa miundombinu ya usafirishaji na biashara ndani ya Afrika Mashariki. Uunganishaji huo unaweza kurahisisha usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya nchi hizo na kuongeza fursa za biashara za kikanda.