KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
OOooh!..Watanzania wenzangu tuzingatie kanuni hizi tatu.
1.GDP ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania.
2.The Customer is always right.
3.Tajiri au mwenye pesa hanuniwi.
..Tukielewa kanuni hizo tatu hapo juu hatutapata shida ku-deal na ndugu zetu wa Kenya.
Unashabikia upuuzi, Kenya wana viwanda vingi vya maziwa,tofauti na nyinyi waabudu jiwe.Soon ndege za Kenya zinapigwa ban hahaha
Rais wetu njoo huku umechokozwa...
........updates......
Maziwa ya unga yoka Kenya tayari yanajadiliwa kutoingizwa nchini
We acha uwongo,mm nalima tangia 2009 Hadi leo sijawahi pulizia Dawa ya kuuwa viwavijeshi na Wala sijaona Hilo Jambo kwa ukanda huu wa kusini.Kilimo cha mahindi ukibahatika kuona haki hutokaa ule ugali hasa hasa dona,,
Ili mahidi yastawi vizuri lazima upulizie dawa (sumu) ya kuuwa viwavi jeshi zaidi ya mara mbili
Kuhifadhi pia yanatiwa sumu, simu ambayo inatakiwa iwe inabadilishwa kila baada ya miezi mitatu fikiria kama mahindi yalihifadhiwa mwaka mzima kusubiri soko liimalike yatakuwa yametiwa sumu mara nne
Nadhani hapo saratani lazima ituhusu tu sisi wa Tanzania ukijumulisha na sumu zinazotumika kukuzia mboga mboga kama nyanya, kabeji spinachi n.k
Kwa sumu hiyo unauozunguzia mm mahindi yangu ninayo mpaka leo hayanaHii habari ni ya kweli , kutokana na namna tunavyohifadhi mahindi yetu bila kufuata kanuni nzuri , aflatoxin au kwa kiswahili Sumu kuvu ni Sumu ambayo kutokana na aina flani ya fungus (Aspergillus flavus and Aspergillus parasiticus) ambao hukua pole pole kwenye nafaka na nuts ambazo zimehifadhiwa zikiwa hazijakauka vizuri au zikiwa kwenye unyevu
How is dangerous
Aflatoxin B1, which is a genotoxic hepatocarcinogen, which presumptively causes cancer by inducing DNA adducts leading to genetic changes in target liver cells. AFB1 is metabolized by cytochrome-P450 enzymes to the reactive intermediate AFB1-8, 9 epoxide (AFBO) which binds to liver cell DNA, resulting in DNA adducts.
How to prevent aflatoxins
Sorting insect- damaged cobs and cobs having poor husk covering can reduce aflatoxin contamination. Apart from this, winnowing, washing before cooking, and dehulling of maize grains are effective in achieving significant aflatoxin and other mycotoxins removal
Hivi kazi ya mahindi ni unga pekee?Sioni tatizo lolote hapo. Kwanza kwa nini Tanzania wanauza mahindi badala ya unga? Tutaongeza ajira kwa kuuza unga sio mahindi. Serikali irudi kwenye drawing board na kuanza kusitisha uuzaji wa mahindi nje ya mipaka ya Tanzania. Uwekwe mkakati hivi sasa kuwa na viwanda zaidi ili tuweze kuuza unga wa mahindi.
Are you aware that you're contradicting yourself in that short statement?Business is not done with emotions son. The maize will pass through Tanzania and you'll allow it. The maize has been passing through Tanzania and you've been allowing it. The stereotype out here is Tanzanians don't know business, stop confirming it. Relax.
Tukikosa kuwatia adabu safari hii, basi tuache wafanye wanavyopenda wao..Niwakati sasa wa kubuni mbinu mbadala wa matumizi ya mahindi yetu.
Mfano
1. Serikali iwezeshe wawekezaji wa Pombe aina ya Kangara,kwete, Chibuku, kidugugu,mgorigori nk
2.Utengenezaji wa vyakula vya mifugo ilikupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji
Mahindi yote yatanunuliwa hapa nchini.
Na mwisho Serikali itangaze kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kwa mwaka mmoja na kusitisha mahusiano.
Hii. Itasaidia siku zijazo kabla ya kuropoka kwao watakuja kwenye meza ya mazungumzo pale panapokua na changamoto.
Ni imani yangu kua kweli wote tunahitajiana ila wao wanatuhitaji zaidi.
And in fact you're right.I have been thinking that the tactic of banning UG and TZ maize could be a cartel tactic to enable them to import maize from Mexico. Create artificial shortage and then import. I will not be suprised if several ships are already on the ocean coming to Kenya.
Mnawaonea sana waganda.Halafu Waganda wamepiga kimya na kutafuta namna za kitaalam kukabili hii issue na kubaini ukweli, Watanzania ndio wamepiga ukunga, siku zote ukishutumiwa kwa chochote, kabla kulipuka kwa maneno mengi, shona mdomo kwanza sklizia na kujua upepo unavuma kwenda wapi.
Zipo nyingi tu mkuu, hadi kutengeneza pombe (ethyl alcohol) inayochanganywa na petroli kwa ajili ya magari..Hivi kazi ya mahindi ni unga pekee?
Natunajiita nchi ya viwanda.... Japo hili neno msimu huu wa pili halisikiki kabisaZipo nyingi tu mkuu, hadi kutengeneza pombe (ethyl alcohol) inayochanganywa na petroli kwa ajili ya magari..
Ni kukosa ubunifu tu.
Mahindi kama hayo yenye mycotoxin, si yanaweza kutengeneza pombe badala ya kulisha mifugo na binaadam!
Mihogo nayenyewe ndio balaaUmenena kweli kabisa. Serikali yetu ilifanya kuna kipindi ilikosea sana, yaani maafisa kilimo wale wa mpaka vijijini waliondolewa, kwa sehemu kubwa kwa sababu ya maslahi binafsi ya wanasiasa wachache, so wakulima wameendelea kulima with no utalaamu na uhifadhi na matokeo yake ndiyo hayo.
Wewe cheki tu hata Tanzania, yaani cancer mpaka vijijini, kuna hiki kituo cha ufafiti ya kilimo ukiwatembelea hakika utaacha kula ugali. Mimi tangu nijue hilo nilishaacha kula ugali wa mahindi ni muhogo kwenda mbele.
Nadhani wizara ya kilimo waweke mkakati maalumu, wawarejeshe au waajiri maafisa kilimo waende vijijini wasaidie wananchi namna ya kuvuna na kuhifadhi chakula. Yaani hata kwenye maghala yetu ni tatizo.
Kuna jamaa yangu mzigo wake wa tani moja ya karanga ulizuiliwa kuingia UK, ikabidi urudi bongo na kuuteketeza.
Waganda siku zote mmezoea sana kuwaonea.
Usidhani mnao ubavu wa kuwaonea waTanzania kama mnavyowafanyizia waganda.
Hivi kwa nini hamtaki kujifunza na kuelewa hivyo?
Nakushangaa hadi hapa bado hujaona jinsi maofisa wenu walivyokosea stepu.
Hela yetu ndio inatupea jeuri ya kudeka tunavyotaka, acheni ukajanja boresheni mazao yenu kaama mnataka soko.
Hamna lolote, mngekua mnanunua luxury goods labda ningeona logic,
Ila mahindi !! Acha utani.
Halafu sikunyingine andika kwa kingreza Kiswahili huwezi.
Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya
Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani
Sumu hizo zimesababisha vifo vya wakenya wengi kwa miaka, hali iliyosababisha wachukue hatua ya kuacha kupokea mahindi kutoka Tanzania na Uganda
Hata samaki wa Ziwa VictoriaNyie watu wa huko ni waajabu sana.
Wanyama wa Serengeti national park wanaishi vizuri na kenya.
Especially wakati wa migration.
Ila binadamu wa huko ni ........
Itakuwa ni huko kwenu kusini mkuu ila huku kanda ya ziwa bila kupulizia huvuni kitu,We acha uwongo,mm nalima tangia 2009 Hadi leo sijawahi pulizia Dawa ya kuuwa viwavijeshi na Wala sijaona Hilo Jambo kwa ukanda huu wa kusini.
Pili Dawa inayowekwa kila baada ya miezi 3 ndio salama zaidi kuliko Dawa zote.Hii nindawa ya vidonge inauwa wadudu kwa harufu hewa na Wala haichanganywi na mahindi ,mahindi tanakuwa yapo ktk magunia yake.Kama hujui kitu acha kulopoka !