Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
IMG_20231106_215528_662.jpg

Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti.

Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira ambapo inatarajiwa Miti Bilioni 15 itapandwa katika mpango huo.

Takriban Kaunti 47 zinatarajiwa kutenga maeneo yatakayotumika kupanda Miti.
 
Wapande miti ya matunda ije iwasaidie msimu wa njaa
 
Back
Top Bottom