mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Haujapata picha zingine za mazishi?.
Vipi unajuaje kuwa maiti hizo sio zilizotolewa taarifa. Na serikali ya Tanzania?.
Unajua wale kumi waliokufa wamezikwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi unajuaje kuwa maiti hizo sio zilizotolewa taarifa. Na serikali ya Tanzania?.
Unajua wale kumi waliokufa wamezikwa wapi?
subira yaitajinga kama ni habari toka Tz. Corona kwenu usiri ndani ya usalama wa nchi. tutangoja list ya missing persons labda baada ya mwaka. kwa hivyo subra tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app