Kenya yatangaza visa 8 zaidi vya corona

Haujapata picha zingine za mazishi?.
Vipi unajuaje kuwa maiti hizo sio zilizotolewa taarifa. Na serikali ya Tanzania?.
Unajua wale kumi waliokufa wamezikwa wapi?
subira yaitajinga kama ni habari toka Tz. Corona kwenu usiri ndani ya usalama wa nchi. tutangoja list ya missing persons labda baada ya mwaka. kwa hivyo subra tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujapata picha zingine za mazishi?.
Vipi unajuaje kuwa maiti hizo sio zilizotolewa taarifa. Na serikali ya Tanzania?.
Unajua wale kumi waliokufa wamezikwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe endelea kuchapa kazi Kariakor na Mkulu yupo Chato kajifungia.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuanzia sasa nitazitumia taarifa za Kenya kama idadi kamili ya wagonjwa walioko Tz maana sasa hivi Ummy kazuiwa kutangaza taarifa rasmi
Realistically utakuwa juha, Tanzania ni Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi + part of Malawi combined..... usiifananishe tanzania na tumikoa. Tz ni kama Giant China, much populated less infected by the global panic.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…