Kenya yatengeneza Setilaiti yake ya kwanza

Kenya yatengeneza Setilaiti yake ya kwanza

Kenya imetengeneza setilaiti yake ya kwanza kabisa ambayo imepangiwa kurushwa anga za juu Machi mwaka huu.

Wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi, wakisaidiwa na maafisa kutoka shirika la anga za juu la Japan walitenengeza chombo hicho katika mradi uliogharimu zaidi ya dola milioni moja.Setlaiti hiyo itatumika kuchunguza mienendo ya kilimo, pamoja na kuchunguza maeneo ya pwani ya taifa hilo.

Mwandishi wa BBC Tomi Oladipo anasema setilaiti hiyo ni ya umbo la mchemraba na ina ukubwa wa sentimita 10 mraba - hujulikana kama nano-setilaiti.Japan ilitoa ufadhili na jukwaa la kuitengenezea lakini ni Wakenya wenyewe walioitengeneza.

Setlaiti hiyo itatumwa hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) mnamo mwezi Machi na kuzinduliwa rasmi kuizungukza dunia na roboti mwezi mmoja baadaye.Hatua hiyo itaifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa sita barani Afrika yaliyo na setilaiti zinazoizunguka dunia.

Kundi la wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi walioitengeza walikuwa kundi la kwanza kufaidika kutokana na mradi wa pamoja kati ya Umoja wa Mataifa na shirila la anga za juu la Japan unaolenga kuzisaidia taasisi za elimu kutoka mataifa yanayostawi kutengeneza setilaiti zao.

Chanzo: BBC
Ni hatua mzuri kwa Kenya,big up sana.
 
Wataalamu wetu wako busy na siasa wameshajitoa ufahamu ni kama bashite
 
10cm , kama 4 inches, sawa na viboksi vitatu vya kiberiti, huu ukubwa wa hii satellite unaleta maswali na mashaka ya kutosha.
 
10cm , kama 4 inches, sawa na viboksi vitatu vya kiberiti, huu ukubwa wa hii satellite unaleta maswali na mashaka ya kutosha.
Inaitwa nano technology, future tech. Fanya kautafiti utaelewa teknologia inakoelekea miaka ikiendelea kusonga.
 
Yani hiyo ni sawa tu na toy cha msingi ni kuunda itakayo weza kukaa kwenye space miaka mia sio kuunda kitu kitakachokaa kwenye space kwa miezi halafu kisichokua na faida mmepoteza pesa kununua toy
 
1. Tukimaliza kusambaratisha kabisa chama fulani, tunaweza kufikiria kuwezesha mambo hayo.
2. Serikali ina mahela! Imeweza kujenga SGR kwa fedha zake.
3. He hawa wachawi hawawezi kuruhusiwa kupeka ungo huko majuu, kisha tukawaita hao BBC?
Daah hiyo namba 3
 
Nasisi tumepiga hatua kubwa sana ya kumtia nguvuni nabii Titto
 
20170417-industries_defence_research-and-development_technology_b2r.jpg


What are nanosatellites?

Like your mobiles, satellites are also getting smaller and better. Nanosatellites are those satellites that are just about the size of your shoe box. But, they can do almost everything a conventional satellite does, and that too at a fraction of the cost. Which is why everybody — from government organizations and start-ups to educational institutes — is scrambling to get a piece of the small-sat pie.

The big bang theory of small sats can be attributed to fast-changing technology trends cutting down gestation periods. The industry is responding to the subsequent profit vulnerability by making smaller spacecrafts quickly, deploying them even more swiftly and getting data from them rapidly.

Basically, the exciting era of small satellites began only a couple of years ago. On November 19th, 2013, Orbital Sciences (now Orbital ATK) launched a rocket from the Wallops Flight Facility in Virginia. It carried 29 satellites and released them into low-Earth orbit, a record for a single mission. Thirty hours later, Kosmotras, a Russian joint-venture, carried 32 satellites into a similar orbit. Then, in January 2014, Orbital Sciences carried 33 satellites up to the International Space Station where they were cast off a month later.

To be clear, not all small satellites are, well, small satellites. A spacecraft that weighs between 100 to 500 kgs is called a mini-satellite. If it weighs between ten to 100 kgs, you would call it a microsatellite. A nanosatellite’s mass range is between 1 and 10 kgs. And if your spacecraft weighs between 100 grams and 1 kg, it would be called a picosatellite. That’s not all! We even have a name for satellites that weigh less than 100 grams. They are known as femtosatellites.

Research firm, Markets and Markets has predicted a bullish future for the small satellite industry. The nano and microsatellite market is estimated to grow from $702.4 million in 2014 to $1,887.1 million in 2019. A study by Northern Sky Research predicts earth observation as the primary driver behind this growth. This is because earth observation market suffers from data poverty in many industry verticals, like agriculture, disaster management, forestry and wildlife. The research firm believes that a staggering 40 percent of the nano and microsatellites, which are to be launched by the end of year 2024, will be for earth observation applications.

It’s safe to say, in the future, small satellites are going to play a big role
 
Yani hiyo ni sawa tu na toy cha msingi ni kuunda itakayo weza kukaa kwenye space miaka mia sio kuunda kitu kitakachokaa kwenye space kwa miezi halafu kisichokua na faida mmepoteza pesa kununua toy
'Toy' Iliyo'cost' 120million kshs. Username yako geuza iwe asap kilaza.
 
Back
Top Bottom