Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba.
Kwa mujibu wa Duale, mgonjwa huyo alianza kuugua takribani mwezi mmoja uliopita na alipata matibabu.
Wizara ya Afya imesema itaendelea kutoa taarifa zaidi kuhusu hali ya mgonjwa na hatua zinazochukuliwa kufuatia kuthibitishwa kwa kisa hicho.
Mwananchi, una maoni gani kuhusu hatua ambazo Serikali inapaswa kuchukua kuzuia Ebola kuenea nchini?
Source: TheStar.co.ke