Wakenya wanajitengenezea mazingira ya kutoruhusiwa kuingia baadhi ya Nchi nilikua na mpango wa kwenda Nairobi ila naona wataharibu safari zingine wataanza kuuliza kama umeenda Kenya au DRC hivi karibuni ukijibu ndio na wakiona mkwaju unawekwa karantini yao mpaka wakupime kutoka sio leo.
Wanaangalia mihuri tu kama umeenda itaonyesha kama haujaenda hakuna muhuri ila Nchi za mbali mara nyingi hawajui hata muhuri wa DRC au Uganda unafananaje tofauti na Daslm kila kukicha anawagongea Wakongo wanaoingia na kutoka..Hata kutoka Tanzania airport, huwa wanauliza swali hilo kama ndani ya siku kadhaa umeenda Uganda au DRC...
Hii itakua mbaya sana, Nasubiri visa nieleke Japan na Nina mpango wa kupitia Nairobi cause price ni cheap kuliko kutokea Dar.
Sasa kwa Hali hii inaweza vuruga kila kitu.
Nikiona mambo yashakua magumu sana nitapitia, Oliver Tambo tu, Ni book Cathy pacific.Ndio usipite sasa maana utaonekana umetokea Jomo Kenyatta...
Labda kama upite pale kama transit, panda ndege inayotua hapo itayo kuconnect...
Hata ukipita transit kwenye hayo magonjwa unaweza usiruhusiwe kuingia unakokwenda..Ndio usipite sasa maana utaonekana umetokea Jomo Kenyatta...
Labda kama upite pale kama transit, panda ndege inayotua hapo itayo kuconnect...
Magufuli aliharibu sana akili za matahila kama wewe!! Kuficha taarifa za maradhi ndio tiba ya kuondoa hayo maradhi au? We kilaza hujui kama inasaidia Nchi jirani kuchukua tahadhali ?Hawa nao wakae na taarifa zao huko huko. Waache kukuza mambo.
Huku jiwe alituachia ujinga sana, wanaacha kutangaza kuchukua tahadhali! Wanaogopa wafuasi wa magufuli watasema mama analeta taaruki!3 Kiserikari kiraia ni 30. Walipokea dollar za Marekani ili wajenge wodi za wagonjwa wa Ebola sasa kimewalamba. Ni ngumu mno kupambana na Ebola, Tanzania ifunge mipaka yote na Kenya kwa muda hadi pawe shwari.
Nikiona mambo yashakua magumu sana nitapitia, Oliver Tambo tu, Ni book Cathy pacific.
Tanzania tunasumbuka sana, Uwanja wetu ndege haziji nyingi ticket Zinakua automatically overpriced.
Zwazwa mbona una panic. Ulifuatilia namna wataalamu wetu walivyo handle hii issue huko kagera miaka michache nyuma? Quietly, precisely na swala likaisha bila kelele. Wagonjwa watatu tarumbeta dunia nzima? Congo wafanyeje sasa.Magufuli aliharibu sana akili za matahila kama wewe!! Kuficha taarifa za maradhi ndio tiba ya kuondoa hayo maradhi au? We kilaza hujui kama inasaidia Nchi jirani kuchukua tahadhali ?
Kweli, Kuna high percentage utafanyiwa enhanced monitoring pia ata kama ulifanya transit.Hata ukipita transit kwenye hayo magonjwa unaweza usiruhusiwe kuingia unakokwenda..
Hata ukipita transit kwenye hayo magonjwa unaweza usiruhusiwe kuingia unakokwenda..
Kenya anatafuta hela mjanja sanaZwazwa mbona una panic. Ulifuatilia namna wataalamu wetu walivyo handle hii issue huko kagera miaka michache nyuma? Quietly, precisely na swala likaisha bila kelele. Wagonjwa watatu tarumbeta dunia nzima? Congo wafanyeje sasa.
Yes, Ila China Southern via Guangzhou ilikua poa sana ticket in 2.5M go and return.Ok, option ya Cathay inaweza ikawa bei chee sababu utakuwa na 2 stops, OT na HongKong, bongo unaondoka na Flyairlink (huwa naona wapo bei cheee kuliko SA au ATCL)...
Sisi mzee ndege zinazokuja ni zilezile miaka yote sababu wasafiri wakuu ni watalii na wafanyabiasha, TZ hakuna kitu kingine watu wanafuata zaidi ya hivyo...
1. Hata ukiwa international zone, passport yako inasema ulitoka wapi.Hebu nieleweshe, wanazuia vipi na umeishia Airport kwenye international zone, hufanya entry wala exit...
1. Hata ukiwa international zone, passport yako inasema ulitoka wapi.
Kama umetoka Dar -> NBO (Kenya Airways) -kwenye boarding pass yako itaonyesha ulitoka Nairobi. Japan wanapata Passenger Manifest kutoka kwa ndege uliyotumia kabla ya ndege kutua HND. Hapo wanajua route yako yote.
2. Visit Japan Web inakuuliza "Countries you visited in last 21 days" — sio "countries ulizoingia immigration".
Hata kama ulikaa tu kwenye waiting lounge ya Jomo Kenyatta masaa 3, kisheria umekuwa Kenya. Lazima uandike Kenya. Ukiandika No na wakagundua ulipita NBO, ni uongo, na hiyo ndio kosa kubwa kwa Japan.
3. Kwa Ebola, wao hawajali uliingia mjini au la.
Ebola inaweza kuambukizwa airport pia — mtu aliyeko karibu yako kwenye line, choo, security. Ndio maana hata transit inahesabiwa kama "stayed".
Kwa mujibu wa AI.
Rahisi sana hiyo USA ilizuia abiria ambao walifanya transit kupitia Uganda na hawakugonga safari yako inaonyesha kwenye ticket yako na sasa hivi kabla haujagongewa officer anaweza kutaka kishungi cha ticket yako au ticket ya kurudi itaonyesha safari hasa kwa kipindi hiki cha mlipuko wa magonjwa..Hebu nieleweshe, wanazuia vipi na umeishia Airport kwenye international zone, hufanya entry wala exit...
Yes, Ila China Southern via Guangzhou ilikua poa sana ticket in 2.5M go and return.
Na ukizingatia hapa mpaka Nairobi sio mbali na ndege ni cheap.
Cathy pacific ticket ni 2.8M ila kutoka Dar To JNB Kuna umbali kidogo.
Ila kwa Hali ilivyo Kenya Sina budi.
Rahisi sana hiyo USA ilizuia abiria ambao walifanya transit kupitia Uganda na hawakugonga safari yako inaonyesha kwenye ticket yako na sasa hivi kabla haujagongewa officer anaweza kutaka kishungi cha ticket yako au ticket ya kurudi itaonyesha safari hasa kwa kipindi hiki cha mlipuko wa magonjwa..