Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Ukikata mapema zaidi utapata nafuu ya hapo kwa hiyo Cathy unachofanya unakata ticket ya mapema zaidi Malawi au Rwanda wapo cheap unaenda kufanya transit Oliver Tambo au ukiamua unakata siku moja kabla siku inayofata unaanza safari hapo Oliver Tambo..Yes, Ila China Southern via Guangzhou ilikua poa sana ticket in 2.5M go and return.
Na ukizingatia hapa mpaka Nairobi sio mbali na ndege ni cheap.
Cathy pacific ticket ni 2.8M ila kutoka Dar To JNB Kuna umbali kidogo.
Ila kwa Hali ilivyo Kenya Sina budi.
Naomba EBORA IFIKE ZANZIBARKenya imethibitisha mgonjwa wa tatu wa Ebola aina ya Bundibugyo.
-
Mgonjwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 65, ambaye ni ndugu wa karibu wa wagonjwa wawili wa kwanza.
Alikuwa amewekwa karantini baada ya kugunduliwa kuwa miongoni mwa watu walikutana moja kwa moja na wagonjwa wawili wa awali
Soma Pia: Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Mgonjwa wa Ebola – Mgonjwa Mkenya amefariki
Virusi vya Ebola kwa kawaida huambukiza wanyama, hasa popo wa matunda, lakini milipuko kwa binadamu wakati mwingine huanza pale watu wanapokula au kushika wanyama walioambukizwa.
Chanzo: BBC Swahili
Nakazia hili ila utakuta nchi ipo bize kupambana na upinzani, Ebola ni hatari.3 Kiserikari kiraia ni 30. Walipokea dollar za Marekani ili wajenge wodi za wagonjwa wa Ebola sasa kimewalamba. Ni ngumu mno kupambana na Ebola, Tanzania ifunge mipaka yote na Kenya kwa muda hadi pawe shwari.
Inasikitish sana na hizo dalili ni kama hilo jambo litaenda kutokea, Tz ipo bize kupambana na upinzani.AFCON 2027,tutabaki vya viwanja na nyumba za hotel na Kulala
Ni hatari kwa kweli. Bahati mbaya sijui kama kuna maandalizi ya kutosha kukabiliana na hilo tatizo.3 Kiserikari kiraia ni 30. Walipokea dollar za Marekani ili wajenge wodi za wagonjwa wa Ebola sasa kimewalamba. Ni ngumu mno kupambana na Ebola, Tanzania ifunge mipaka yote na Kenya kwa muda hadi pawe shwari.
Ni ngori.Mipkani itakuaje na ndg zangu hapo rombo mkuu kwa ndege mdinya cc secretarybird Supapawa 🥺😫