Kenya yatia rekodi mpya kwenye ukusanyaji wa kodi na kufikisha KSh1.114 trillion

Hebu naomba utiririke kitaalam na kudhihirisha kuwa SGR ina harufu ya rushwa na ufisadi. Tatizo nyie hukaririshwa kama kwaya kanisani.
Nilikwambia kuwa kama unataka mtiririko huo wa rushwa unoge basi ufungulie uzi! Lakini naona hutaki unafungua nyuzi za kusifia tu nchi yako! Kufanya mjadala kama huo kwenye uzi mwingine ni kubaka maana ya uzi!

Sisi kama tulitoa hizo shutuma, anzisha uzi utuite tuje tujadili kwa kina huko!
 
Oya hii hapa ni ya miezi 11 hivyo bado mwezi mmoja tuliza.

Serikali yenyewe wamekiri katika miezi hiyo 11 wameshindwa kufika lengo kwa 6.27%, kama wanataka kufika lengo lazima wapate Kshs 290 billion. Mwaka wa uchaguzi huu, hiyo hela itatoka wapi?
 

Kitu gani kimefanya deni lenu la taifa kukua kwa kasi ya ajabu tangu 2013? Pesa mlizokopa mnafanyia nini? Kwa makusanyo hayo ilibidi muwe mnajitosheleza kwa miradi mingi bila kukopa.
 
Duniani hakuna bajeti inayozidi 50% kwenye maendeleo sana sana itakuwa 45%. Hii muulize mwanauchumi yeyeto no need to research. Hiyo nchi duniani hakuna. Ikiwa hivo basi wasimamizi wa maendeleo hawato kuwepo. So it is true 50% nazaidi uenda kwenye mishahara na matumizi mengine ya wafanyakazi
 

Kwani wewe umetokea sayari gani maana hili la SGR tulilijadili humu takwimu kwa takwimu Wabongo mkaishia kubeza tu.
Subiri nikipata fursa nitalianzisha au nifukue hizo nyuzi.
 
Sasa kwa nini mnashindwa kuongezea nurses mishahara. Bado kunatatizo hapo.Sisi huku kuna watu wameongexews mishahara kwa 100% yamishahara ya mwanzo
 
Na mda mrefu sana hawajatutangazia tulinganishe na ya kwetu
 
Great news ....in 10yrs ae will have collected close to 150bn$ for development assuming it remains constant probably 200bn$ in 12yrs

We just need people driven poicies that will benefit Kenyans

Cause in the same 10yrs we will have read a collective 300bn$ + budget or thereabout!!

Wooow Kenya 10yrs from now will be something else [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kweli kenyans ni bure kabisa.
Na mtaongopewa sana
Kaskazini wanakufa njaa unaongelea mapato ebu taja vyanzo vya hayo mapato.
Maaana naskiaga hata mikopo kwenu ni mapato
 
Kwani wewe umetokea sayari gani maana hili la SGR tulilijadili humu takwimu kwa takwimu Wabongo mkaishia kubeza tu.
Subiri nikipata fursa nitalianzisha au nifukue hizo nyuzi.
Whether Neptune or Jupiter, twende na mada!
 
Hiyo pesa yote itapotelea kwenye Matumbo makubwa ya Wakikuyu na Wakalenjini.
 
Tax collections haiwezi kuwa constant kwa miaka yote hyo 12 as u suggest!

Sera zinabadilika kila mwezi! So far tegemea kupungua kwa kiasi hicho hata mwezi ujao hadi baada ya uchaguzi!

Wakati wa ichaguzi lazima mapato yashuke tu
 
Hawa jamaa huwa na Vioja sana,
Hata Nigeria wana GDP ya 520bn,
Yaani 8times Kenya's but they have nothing to show, Just Like you Kenyans boasting in here n yet you can only show us Chinese sub standard & overpriced projects
 
Kenya mmekusanya trilion ksh moja sawa na tsh trilion 21.5.
 
Sawa na sisi tumekusanya trilion 16.kwaio mmetuzid trilio 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…