kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Hiyo deni imeongezeka juu ya hizi miradi midogo? Unaelewa unachozungumzia hapa?
Kenya tops East Africa with mega infrastructure projects
Kenya haiwezi kuchukua madeni eti kijenga barabara ya 100km.
Nilikuuliza unieleze kama Tz haina mipango ya kuborrow pesa za Sgr, bandari na pipeline pamoja na miradi ya juweka pumps na plants za gesi. Haukunijibu.
Tutakopa lakini hatutafikia deni lenu, kumbuka kuwa nyie mnakusanya kodi kubwa kuliko sisi. Swali la kujiuliza, kwa nini lazima mkope kama sisi kila mradi wakati mna mapato makubwa? Bila shaka mirija yenu ya mapato imeelekea Kiambu, Murang'a na Eldoret.
Kenya haiwezi kuchukua madeni eti kujenga barabara ya 100km. Really?
Natoa orodha ndogo tu ya miradi ya barabara za km chache mlizokopa pesa.
1. Construction to Bitumen Standards of Meru Bypass Roads km 23 (Ksh 2,391,755,277.10 World Bank)
2. Nairobi Outering Road Improvement Project km 13 (Ksh 7,395,183,298.13 AfDB)
3. Dualling of Ngong Road Phase I (KNLS Nairobi-Dagoretti Corner) km 2.5 (Yen 1,454,900,000 Japan)
4. Dualling of Ngong Road Phase II (Yaya Centre-Dagoretti Corner) km 3 (Japan)