Kenya yatia rekodi mpya kwenye ukusanyaji wa kodi na kufikisha KSh1.114 trillion

Hawa jamaa huwa na Vioja sana,
Hata Nigeria wana GDP ya 520bn,
Yaani 8times Kenya's but they have nothing to show, Just Like you Kenyans boasting in here n yet you can only show us Chinese sub standard & overpriced projects
Wacha povu. This Kenya news.

Kwa hivyo tusiletange habari za ufanisi humu ati hiyo itakuwa ni kuboast?
 
jambo nzuri kweli ila haitaleta mafanikio yoyote kama viongozi wetu ni wezi kupindukia...hivi huwa sielewi, yaani kwa 10 Billion USD kenya inaeza kosa pesa zimesalia za kujenga reli ya SGR na kujenga stadiums, light rail pamoja na kuzidisha uwezo wa port zetu? yaani kila wakati mkopo mkopo mkopo...hivi hizi 10 Billion kwani huwa zinaenda wapi?
SGR=mkopo
barabara=mkopo
port expansion=mkopo
power generation(geothernal plants)=mkopo
chakula na mahindi kutoka nje=donations
nairobi- mombasa highway surplus lanes=mkopo
hivi sisi tuna akili kweli?
stadium ya kisasa ni kati ya 150 na 450 million USD kulingana na design
light rail ni kama 400 million USD
hivi baada ya kulipa wafanyikazi wote tunaeza kosa pesa za maendeleo kutoka kwa hii 10 Billion mpaka tumkimbilie mchina??
apana Kenya lazma kuna tatizo kubwa sana...dili zimezidi plus mishahara za wabunge ni lazma zipunguzwe...hawa jamaa walafi sana..
 
Wakenya mashemeji zangu maana nimeoa uko acheni kujisifia sana wakati hali halisi inajulikana
 
Kitu gani kimefanya deni lenu la taifa kukua kwa kasi ya ajabu tangu 2013? Pesa mlizokopa mnafanyia nini? Kwa makusanyo hayo ilibidi muwe mnajitosheleza kwa miradi mingi bila kukopa.
Hiyo deni imeongezeka juu ya hizi miradi midogo? Unaelewa unachozungumzia hapa?

Kenya tops East Africa with mega infrastructure projects

Kenya haiwezi kuchukua madeni eti kijenga barabara ya 100km.
Nilikuuliza unieleze kama Tz haina mipango ya kuborrow pesa za Sgr, bandari na pipeline pamoja na miradi ya juweka pumps na plants za gesi. Haukunijibu.
 
Hongereni wakuu, sisi huku hata kutangaza wameacha, sijui bado wanalitafuta lengo. Huku habari ya mjini ni makinikia tu.
Vipi huko na ninyi mna makinikia kama sisi huku?
 
danganya watz tu sisi waKenya twajua government ilivo na rushwa mbaya.... wait for election
 
Meanwhile those who haven't filed returns go to the KRA itax website before the deadline
 
Hizo kiki tu za viongozi ili muwape kura tena
 
 
QUOTE]
Tafadhali usionyeshe wazi ignorance yako. Nani alitaja 2 trillion target ya tax collection. It seems you don't even have the basics of a country's sources of revenue because for a national budget of ksh 2.6 trn, there's no way tax revenue alone accounts for 80%, so go back, do your math and come back with reasonable figures.
So if sh 1.14 tn has been collected for 11 months, with a target of sh1.26 tn, and a whole month to spare, i don't see how that's not an achievement with almost 100% accurate prediction.
Nawahurumia wanaokuamini mpaka wana like post yako.
 
A hundred dollars question
 
Pipeline haituhusu Uganda na Total ndo wana finance. We will only pay for 8-15% of refinery cost. Get that in ur coconut skull...
 
Uchaguzi si Karibuni tu hapa.. habari nzuri kama hizi lazima ziwepo..

"wakati mwingine hata kama sio kweli'
 

Bora umesema wewe, nikisema mimi MK254 na Iconoclastes wananiona mbaya.
 
Yaani nani alitak kufananisha KENYA na tanzania Kiuchumi, kule watu wanajielewa,,,Tanzania Illiteracy kubwa saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…