Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi msaada wa mahindi kama nyinyi mnavyofanya, sisi tupo advanced kiteknolojia ndio maana tunatoa misaada ya kiteknolojia. Nyie malezi endeleeni kutoa misaada ya chakula huku sisi tukitoa misaada ya teknolojia.