Kwa hivyo unadhani hii picha ni photoshop? Wacha wivu mzee. Nyie endeleeni kutoa misaada ya chakula kama mlivyozoea.Where u caught up with April fools' gimmicks?
Where is the official news? Even if the case, Nina uhakika mmeazimisha as hamna uwezo wa kufanya donation!Kwa hivyo unadhani hii picha ni photoshop? Wacha wivu mzee. Nyie endeleeni kutoa misaada ya chakula kama mlivyozoea.
View attachment 1742811
Cc joto la jiwe The best 007 ichoboy01
Hii ni tweet ya KNBS ambayo ni body ya kiserikali ambayo moja baina ya jukumu lake ni kuhesabu idadi ya Wakenya. Sasa mbona body ya kiserikali idanganye? Watafaidika vipi kwa kudanganya? Sasa kama huamini tweet ya Kenya National Bureau of Statistics basi wewe ndio una tatizo.Where is the official news? Even if the case, Nina uhakika mmeazimisha as hamna uwezo wa kufanya donation!
Malazy mna wivu sana kwenye uzi huu. Mezeni wembe mkipenda au kalilieni chooni. Sisi tunatoa misaada ya teknolojia huku nyinyi mkitoa misaada ya chakula. Kujeni tuwape mafunzo jinsi ya kutumia teknolojia hii.Hahaaaa jamaniii
Kenya ndio imepewa huo msaada acheni kudanganya.
tanzanian imetoa wapi msaada wa chakula?Malazy mna wivu sana kwenye uzi huu. Mezeni wembe mkipenda au kalilieni chooni. Sisi tunatoa misaada ya teknolojia huku nyinyi mkitoa misaada ya chakula. Kujeni tuwape mafunzo jinsi ya kutumia teknolojia hii.
Kwahiy Teknolojia mnayo, ila chakula hamnaga?
Sasa mbona mnaombagaombaga chakula enyi wazee wa data uchwara? Mshawahi ona sisi tunasaidiwa chakula na Kenya?View attachment 1742856
View attachment 1742847
Infographic: The Global State Of Food Security
This chart shows the best and worst performing countries for food security in 2022.www.statista.com
Tumekuomba?Sasa mbona mnaombagaombaga chakula enyi wazee wa data uchwara? Mshawahi ona sisi tunasaidiwa chakula na Kenya?
Nchi ambayo even availability of food is not constant (facing food insecurity) mnakuja kujipambanua hapa na teknolojia.
Nchi ambayo mnaongoza kufa kwa kipindupindu! [emoji1][emoji1]View attachment 1742860View attachment 1742861View attachment 1742863
🤣🤣🤣 nasikia mmeomba KSH 34B kutoka IMF.We we endelea kuchekesha watu wewe mwenyewe huko shallow upande wa tech,wananchi wanatembelea rim alafu ndio utoe msaada.Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi msaada wa mahindi kama nyinyi mnavyofanya, sisi tupo advanced kiteknolojia ndio maana tunatoa misaada ya kiteknolojia. Nyie malezi endeleeni kutoa misaada ya chakula huku sisi tukitoa misaada ya teknolojia.
Zimbabwe,Malawi na Msumbiji na wewe ukitaka sema tutakupa.tanzanian imetoa wapi msaada wa chakula?