Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo.
Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya.
"Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji, matamshi ya chuki, na uchochezi wa vurugu, kunahitaji hatua za haraka na madhubuti," sehemu ya taarifa kutoka kwa Wizara hiyo na Kipchumba Murkomen inasema.
Kwa sasa, kuna zaidi ya majukwaa 12 ya mitandao ya kijamii yanayofanya kazi nchini Kenya, kila moja likiwa na mamilioni ya watumiaji wa kila siku, huku Facebook ikiwa programu ya mitandao ya kijamii inayotumiwa zaidi nchini Kenya, ikiwa na zaidi ya 50% ya Wakenya walioko mtandaoni.
================================================================
After months of complaints from senior government officials about the misuse of social media, particularly among Kenyan youth, the government has issued key directives to social media companies with platforms accessible to Kenyans.
In the directives, social media companies will be required to establish physical offices in the country to enable the government to ensure accountability of the platforms' usage.
''To ensure responsibility and accountability in the face of rising disinformation, social media manipulation, and online abuse, all social media organizations operating in the country must establish a physical presence within our jurisdiction,'' the Ministry of Interior announced.
Particularly, the order is directed towards global conglomerates including Meta, which is owned by Mark Zuckerberg and owns Facebook (with 3.07 billion users globally) and Instagram (2.4 billion users globally), as well as X (600 million users globally) which is owned by World's richest man Elon Musk
Source: Kenyans Co Ke