Kenya yatuma matunda na maua mengine tani 40 Amsterdam

Kenya yatuma matunda na maua mengine tani 40 Amsterdam

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Bado twasonga mbele hata Corona ikiwasha

1587927527278.png


1587927538483.png


1587927558988.png


1587927569179.png


1587927581627.png
 
mbona mnagombania chakula mpaka mnataka kuuana??
 
tunalisha nchi saba ukanda huu wa EA
mnawalisha hadi mnasahau kujilisha
si mjilishe kwanza... you are more malnourished more than the nations you claim to feed.. 😀 😀
 
mnawalisha hadi mnasahau kujilisha
si mjilishe kwanza... you are more malnourished more than the nations you claim to feed.. 😀 😀
Tangu uje duniani umesikia Tanzania imepatwa na janga la njaa?
 
Wallahi akili zenu (zenyu) mnazijua wenyewe nyie nyang'au. Sasa hapo mnataka msifiwe?
 
Watu 55 wakamatwa kwa kuhudhuria ibada Kanisani, Kenya

Hamza Fumo5 days ago

520

Watu hamsini na tano (55) wamekamatwa na polisi Jumapili, Aprili 19 katika Kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya kwa kukiuka marufuku ya mikusanyiko ya Wizara ya Afya iliyotangazwa ili kujikinga na kuenea kwa COVID-19.

[https://www]

Baadhi ya waumini waliokamatwa

Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Nation nchini Kenya, waumini 41 kati yao ni washiriki wa Kanisa la Kimataifa la Alpha Omega Healing Foundation na washiriki 14 ni wa Kanisa la Rapha Foundation, ambapo walikamatwa katima maeneo mawili tofauti.

Kamanda wa Polisi wa Trans Nzoia, Ayub Ali amesema kuwa Askofu wa Kanisa la Alphon Healing Foundation, Mchungaji Joram Solo alikamatwa katika eneo la Premium katika eneo la Tuwani akiwa na waumini 40 .

Kwenye Kanisa la Rapha Foundation, Askofu Harlington Olwenyi na Mchungaji Anjeline Olwenyi walikamatwa ndani ya mji wa Kitale pamoja na waumini wao 12.

“Tumeweka wote ndani ya kituo chetu wakati tunasubiri hatua inayofuata,” amesema Kamanda Ali.

Kenya1.jpg
 
Back
Top Bottom