Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza

Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya walioko Uingereza wasikose kazi
2020-04-16.png
 
View attachment 1421096
Sema Kenya imeuza siyo kutuma kwani msaada huo?
 
Hivi Tanzania tuna biashara yoyote tunayo ifanya nje ya nchi?

Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
 
Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?

Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?

Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
 
Mpuuze huyo anadhani kenya hatufanyi ukulima wa matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza

Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya walioko Uingereza wasikose kazi
View attachment 1421096
Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
 
tukishawagonga wazungu na mifuko yetu kujaa hela, tutakuja huko kwenu kununua kwa bei rahisi.
Kenya kuna pesa bana!
 
Back
Top Bottom