Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
We dada una akili sana sema basi tu. Mie ni mmoja wa mashabiki wako
 
It is part of their disposition. Facts show otherwise

a) Kenya is the sixth largest producer and exporter of avocados in the world majorly to europe because America import more from Mexico.

b) Kenya is the second largest producer and exporter of dairy products in sub saharan africa after south africa, producing about 5 billion litres of milk and our factories having about 6 billion litres processing capacity.

c) Kenya is the largest producer and exporter of cut flowers in africa, commanding about 38% of the european market and now Kenyan growers are looking to america for more growth.

d) Kenya is the 4th largest producer of bananas in Africa after Tanzania, Angola, Burundi, difference is Kenya is better at exporting and marketing her bananas where it commands a 15% market share in europe while the philippines and china command the rest.

e) Kenya is the largest producer and exporter of black and speciality tea in Africa and fourth largest in the world, commanding about 70% of the market in the UK and commanding about 50% of european blended tea market.

f) Kenya is the 2nd largest producer of mangoes in Africa after Nigeria, about 40% of which is exported as whole fruit or mango pulp.

g) Kenya is the 6th largest producer of pine apples after Nigeria, Ghana, Angola, Malawi,Tanzania but it is the 3rd largest exporter due to it's cultivar which is exported as canned pineapples majorly to the UK.

You have left out Macadamia nuts...Kenya is the 3rd largest producer after Australia and South Africa ,
lakini hawa watu na mbwe mbwe zao, sijui wanaonanga Kenya tumelala tu...
Only that we don't sell them agricultural products so wanafikiria hatuzalishi chochote
 
Screenshot_20200417-101030.png
sisi tumepeleka uholanzi hatujatangaza ktk media. Kenya mnapenda misifa , dedication wimbo kwenu , sifa za kijinga by wagosi wa kaya
 
You have left out Macadamia nuts...Kenya is the 3rd largest producer after Australia and South Africa ,
lakini hawa watu na mbwe mbwe zao, sijui wanaonanga Kenya tumelala tu...
Only that we don't sell them agricultural products so wanafikiria hatuzalishi chochote
Very true, I have left out a lot including beef products which we export to the middle east.
View attachment 1421433sisi tumepeleka uholanzi hatujatangaza ktk media. Kenya mnapenda misifa , dedication wimbo kwenu , sifa za kijinga by wagosi wa kaya
Kenya controls 38%-40% of the european cut flower market, about 20% of the fresh vegetable market in europe and more in the UK and about 9% of the fresh fruits market in europe and 17% in the UK. What market size does Tanzania control?
We also control about 20% of the world tea market with china and india controlling about 50%. What market size does Tanzania control in the world tea market?
 
Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.
Matunda yenyewe plantation zote ni za wageni. Wakiamua hawakuuzi na upo kwenu. Labda useme miraa ndiyo ipo mingi Kenya, tena ni kuleMeru ambapo Wameru wenyewe wanasema wao ni Watanzaia zaidi kuliko Wakenya jinsi Wakikuyu mnavyowabagua.
Unaendelea kudhihirisha kwamba hufahamu lolote kuhusu Kenya na unapayuka payuka tu. Wameru wa Kenya na Tz wapi na wapi? Wameru wa Kenya na wameru wa Tz hawama uhusiano wowote ule. Afadhali ungesema Ethiopia, kwasababu hiyo ndio nchi ambayo wanakaribiana nayo upande wa pili wa Ml. Kenya kule Isiolo. Alafu unajua GEMA inamaanisha nini? Gikuyu, Embu Meru Association, wakikuyu wameru na waembu hawana tofauti zozote kilugha na kitamaduni. Tena ni grouping ya watu ambao wote wanaishi maeneo ya Ml. Kenya na mlima huo kwao ni makao ya Mungu wao Mwene-Nyaga kwa kikikiyu, kiembu na kimeru pia.
 
Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
Uongo mtupu. Sisi tunapanda matunda na mboga kwa wingi tu.
 
Ebu wekeni sawa ni msaada au biashara?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Sasa mbona nyie wenyewe mnalia njaa.
Hii imekaaje?
Very true, I have left out a lot including beef products which we export to the middle east.

Kenya controls 38%-40% of the european cut flower market, about 20% of the fresh vegetable market in europe and more in the UK and about 9% of the fresh fruits market in europe and 17% in the UK. What market size does Tanzania control?
We also control about 20% of the world tea market with china and india controlling about 50%. What market size does Tanzania control in the world tea market?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Very true, I have left out a lot including beef products which we export to the middle east.

Kenya controls 38%-40% of the european cut flower market, about 20% of the fresh vegetable market in europe and more in the UK and about 9% of the fresh fruits market in europe and 17% in the UK. What market size does Tanzania control?
We also control about 20% of the world tea market with china and india controlling about 50%. What market size does Tanzania control in the world tea market?

in terms of Agricultural output, Kenya really punches above its weight...
Tanzanias should be ashamed to compare themselves to us.... wanafaa kuwa level ya South Africa in output
 
[emoji16][emoji16]mnajua nyie wakenya mna vichekesho sanaa
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Huo ndio msamiati ambao watz huwa mnaupenda sana, TUNAWALISHA wale na wale pia. Ndio maana nikashangaa leo unauliza kama ni msaada au biashara.
 
Uongo mtupu. Sisi tunapanda matunda na mboga kwa wingi tu.
Nyinyi mna mnapenda mboga, Hilo siyo tatizo Kwa hakuna asiuependa.mboga. lakini tatizo hamna huko mboga zaidi ya sukuma wiki tu. Matunda mpaka mje kuyanunua Tanzania. Machungwa, mananasi, embe, ndizi mnanunuwa Tanzania. Tena afadhali watu wa pwani ya Kenya kidogo, Hilo Wana matunda matunda kiasi, pwani wana zile apple mangoes na viembe vingine kidogo na nazi kiasi. Ardhi yenyewe ya kulima pwani mnayo? Labda Wakikuyu wale wenye uhusiano na koo zilizoshika madaraka huko (ndiyo wenye pesa nje ya wazungu, Waarabu na wahindi) kidogo wamshheinunua na iliyobaki ya Salehe nguru.
 
Acha ujinga,
Stories za vijiweni peleka Tanga,
Kuja Na FACTS only.
 
Nyinyi mna mnapenda mboga, Hilo siyo tatizo Kwa hakuna asiuependa. Matunda mpaka mje kuyanunua Tanzania. Machungwa, mananasi, embe, ndizi mnanunuwa Tanzania. Tena afadhali watu wa pwani ya Kenya kidogo, Hilo Wana matunda matunda kiasi. Ardhi yenyewe ya kulima pwani mnayo? Labda Wakikuyu wale wenye uhusiano na koo zilizoshika madaraka huko (ndiyo wenye pesa nje ya wazungu, Waarabu na wahindi) kidogo wamshheinunua na iliyobaki ya Salehe nguru.
Ona ulivyo mshamba auntie, unazungumza kuhusu matunda ya msimu wakati wakenya wanazungumza kuhusu kilimo biashara? K.m. 80% ya maparachichi ya export nchini Kenya yalitoka kwenye gatuzi moja tu la Murang'a. Maparachichi ya export ni Hass Avacado sio hayo ya uswahili ya kusubiriwa yadondoke au yakomae mwaka mzima. Wakulima wa Kenya wanakuza matunda ya export kwa contract kutoka exporters. Murang'a avocado farmers get Sh88 million
 
Ona ulivyo mshamba auntie, unazungumza kuhusu matunda ya msimu wakati wakenya wanazungumza kuhusu kilimo biashara? K.m. 80% ya maparachichi ya export nchini Kenya yalitoka kwenye gatuzi moja tu la Murang'a. Maparachichi ya export ni Hass Ovacado sio hayo ya uswahili ya kusubiriwa yadondoke au yakomae mwaka mzima. Wakulima wa Kenya wanakuza matunda ya export kwa contract kutoka exporters. Murang'a avocado farmers get Sh88 million
Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania - JamiiForums
 
Back
Top Bottom