Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Umeishiwa, huna hoja. Sijui unanuia nini na hizi nyuzi za mapema 2018 mlipokuwa mnaisifia Tz ya viwanda na pigo kwa Kenya ambalo tulilingojea hadi tukachoka. Murang'a avocado farmers get Sh88 million Umesoma taarifa hizi kwenye hiyo link utadadavulie zaidi. Tuelewe inakuwaje wakulima wa maparachichi kwenye gatuzi moja tu la Murang'a nchini Kenya walilipwa KES 88million, moja kwa moja na exporters mwaka wa 2019. Wakati maparachichi yenyewe ya export unadai kwamba yanakuzwa na wakulima nchini tz.
 
Umeishiwa, huna hoja. Sijui unanuia nini na hizi nyuzi za mapema 2018 mlipokuwa mnaisifia Tz ya viwanda na pigo kwa Kenya ambalo tulilingojea hadi tukachoka. Murang'a avocado farmers get Sh88 million Umesoma taarifa hizi kwenye hiyo link utadadavulie zaidi. Tuelewe inakuwaje wakulima wa maparachichi kwenye gatuzi moja tu la Murang'a nchini Kenya walilipwa KES 88million, moja kwa moja na exporters mwaka wa 2019. Wakati maparachichi yenyewe ya export unadai kwamba yanakuzwa na wakulima nchini tz.
Wewe nyanga'u Hivi haujuwi kuwa hata sima (chakula) yenu Leo hii inatoka Tanzania? ...

https://www.mwananchi.co.tz/habari/...1597296-5209962-view-asAMP-n0els4z/index.html
 
They are obsessed with planting maize and beans.... very basic (lazy) agriculture that requires minimal input.
Ndio maana wanamwaga povu humu na wanashangaa kusikia kwamba Kenya inaongoza bara hili kwenye uzalishaji na export ya mazao ya aina hiyo, yenye thamani ya juu. Kwa ardhi yao ambayo ni karibia mara mbili ya Kenya yenye mvua na rotuba, tofauti na Kenya ambayo ni jangwa kwa 89%, hawafai kuwa wanajilinganisha na sisi. Ila ndivyo hali ilivyo, badala ya serikali ya serikali yao kuwahamasisha wafanye ukulima biashara wao wamejikita kwenye ukulima wa jasho na jembe. Mtaji wa chama chao cha mafisi ni umasikini, ndio maana utawaona mawaziri na viongozi wa chama chao wakifanya vitu vya ajabu kama kukata utepe kwenye 'uzinduzi wa mbegu za maharagwe'.
DSC_0067.JPG
 
Jamaa wanatupiga goli la mkono kwa usafirishaji wa matunda na mbogamboga
Tumekwama wenyewe kwa usafirishaji na tatizo kubwa ni kuwa hatuwezi demand ya kila wakati bali tunasubiri mvua tu
Kwa hili nawapa hongera sana hata kama wananunua kutoka kwetu na wao wakafanya packaging bado ni mbinu za kibiashara

Nafanya biashara sana Western Int market ya West London na kila wiki naenda kununua bidhaa za jumla nawajua wholesalers wengi sana hapo na kila wakati wananiomba kama ninaweza kuwaletea mbogamboga na matunda toka Tz
Ni kazi ngumu ila inalipa sana na masharti ni mengi sana
Kenya hawajaanza leo wakisaidiwa na wazungu wao (sio akili yao) ila wamejiongeza
Biashara ni kama vita wazee


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sasa mbona nyie wenyewe mnalia njaa.
Hii imekaaje?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
From your comment I know you do not know economics. Food is not given for free you have to buy, in order to buy you must work.
 
Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
Kenya is the leading exporter of horticultural products in EU. Kwani huwa tunazitoa Tanzania? Na Kama tunazitoa Tanzania na kuziuza ulaya basi inaonyesha jinsi bongo zenu zimelala. Wacha chuki za kijinga.
 
a) You tried that already and Kenya refused. What happened? You had to export the unprocessed maize to Kenya. Kenya will never buy any processed maize from Tanzania. Your company Bakhresa was also unable to compete and they had to shutdown their Kenyan operations.

b) Also your maize is cheaper than our own, a bag of 90kg (Kenyan maize goes for around Kshs 2,700) while your farmers are willing to sell to kenya at kshs 1,200 and lower.

c) Tanzanian maize is not 60% of kenyan consumption(This is the way you Tanzanians misinform each other). Kenya has been producing about about 40 million bags and last year we produced about 46 million bags, while demand grew to 50 million bags ie. a shortfall of 4 million bags of which 2 million will come from Uganda and another 2 million bags from Tanzania. Where did you get the 60% figure?
 
Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?

Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?

Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Tuindolee ushoga 😂😂
 
Yakitoka Tanzania yakifika Kenya yanakuwa lebeled Product of Kenya.

Kitu cha pili watanzania tuna ubinafsi mkubwa sana; nitakupa mfano halisi hapa.

Kuna group moja la wakukima WhatsApp ambalo wanalima zao X, sasa ilitokea wakapata soko UK dada moja nawebzake kila walipokuwa wanapeleka bidhaa zinaishia kutupwa kwani hazikidhi vigezo. Kwa msaada wa serikali walifanikiwa mwisho wa siku.

Baada ya kufanikiwa wakaanza kuwafanya wenzao fursa ili wapate fidia hasara wakioipata wakati wa naanza kusaka soko. Mwisho wa siku wenye akili wakajitoa

God save us
Aliekuelewa ulichoandika anisaidie
 
Nyinyi mna mnapenda mboga, Hilo siyo tatizo Kwa hakuna asiuependa.mboga. lakini tatizo hamna huko mboga zaidi ya sukuma wiki tu. Matunda mpaka mje kuyanunua Tanzania. Machungwa, mananasi, embe, ndizi mnanunuwa Tanzania. Tena afadhali watu wa pwani ya Kenya kidogo, Hilo Wana matunda matunda kiasi, pwani wana zile apple mangoes na viembe vingine kidogo na nazi kiasi. Ardhi yenyewe ya kulima pwani mnayo? Labda Wakikuyu wale wenye uhusiano na koo zilizoshika madaraka huko (ndiyo wenye pesa nje ya wazungu, Waarabu na wahindi) kidogo wamshheinunua na iliyobaki ya Salehe nguru.
Wewe ni ng'ombe tu.
 
Labla ningekuwa Mkenya ukianza kufuatilia process za kupata vibali vya serikali tayari umesha pata wazo lingine la biashara na mazao yako yamesha haribikia shambani,...
we boya utasafirisha nini nje ya nchi ulichonacho? 😅😅😅 Pumbu?

Eti kufuatilia process za kupata vibali 🤣
 
Back
Top Bottom