Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sema Kenya imeuza siyo kutuma kwani msaada huo?Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza
Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya walioko Uingereza wasikose kazi
View attachment 1421096
Ungejiuliza swali mmoja kwanza, capacity ya hio ndege ni tonne ngapi, ndege si meli boss
Zitaisha lakini zimefika. Na kumbuka zikiisha ndio zinafungua njia zingine ziende.
Hivi Tanzania tuna biashara yoyote tunayo ifanya nje ya nchi?Kwani Kenya wameanza leo biashara na Uingereza?
Hivi Tanzania tuna biashara yoyote tunayo ifanya nje ya nchi?
Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.
Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.
Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
Mpuuze huyo anadhani kenya hatufanyi ukulima wa matundaDah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza
Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya walioko Uingereza wasikose kazi
View attachment 1421096
Matunda grows on trees.....money on the other hand does not grow on trees!!! Covid or not cash is king!!!Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
tukishawagonga wazungu na mifuko yetu kujaa hela, tutakuja huko kwenu kununua kwa bei rahisi.Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
KoroshowHivi Tanzania tuna biashara yoyote tunayo ifanya nje ya nchi?
wacha ufalaDah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu