Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo.

Alphonce Omija 55'
Fenohasina Razafimaro 69'
 
Adui muombee Njaa.

Kila la kheri Madagascar
 
What a match! 🙌
Hakika nimeinjoi sana ndani ya dakika zote 90+30 za nyongeza. Na hata sasa ngoja nishuhudie mikwaju ya penati.

Kichwa cha mwendawazimu, ooh! Sorry! Taifa stars wana kitu cha kujifunza kwenye hii mechi.
 
Kibwage kalibwaga ndio habari ya Africa Mashariki kwa sasa, Mungu wao ndio Mungu wetu
 
Back
Top Bottom