Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo.
Hawa majirani nilikua nawatakia heri ila baada ya kuonyesha dharau kwa nchi yetu kwakweli am happy for now....
Huko vibanda umizia hizo kelele zilikua sio za kitoto...