Kenya yatwaa nafasi ya 12 kwenye uongozi bora

Hakuna matunda wala nini, bado mtaendelea kuchaguana kwa ukabila tu. Maajabu ya dunia, mdhamini mkuu wa kundi la kigaidi la Wakikuyu (Mungiki), Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa kenya. Hatuna cha kujifunza toka kwenye siasa zenu, nyinyi endeleeni na vurugu zenu za kikabila.
 

Huwezi yaona matunda maana wewe ni wale wale jamaa wa pale Lumumba ambao kutwa kushobokea CCM lakini baadaye wanaomba nauli na hela za kula kwa mama nitilie. Huwa wamezibwa na kupofushwa.

Sisi Wakenya tunaona matunda, yaani serikali imebidi iwe mpole na kukaa na kukubali nguvu za wananchi. Tume inaboreshwa kwa nguvu za wananchi na umma. Sio kama kwenu jamaa wanaomba maandamano ya ukuta mnawapiga mikwara ya JWTZ hadi leo hii Mbowe naona ametamaushwa kiasi nilimwona kwenye mitandao yupo uwanja wa taifa anatizama mechi, keshasahau kabisa na kuwaacha wenyewe.
 

The order, which is in our possession, does not categorically stop CORD from holding the protests but warns against efforts to evict commissioner from office or barring them from accessing their offices.
In a ruling issued by Justice Isaac Lenaola after five Jubilee MPs moved to court seeking to stop CORD’s protests, the court restrains CORD from “breaking into, storming, forcibly opening the doors or blocking such access to the IEBC commissioners and IEBC staff premises within Kenya.”
Police misinterpreted court order on anti-IEBC protests, CORD





je koti zenu zinefika hapo? ambapo zinaeza toa maamuzi bila kupendelea popote kwa jambo kubwa kama hilo ambapo serikali inataka kupinga na mahakama inaamua kuvyake... ni mara nyingi sana koti imemkataza rais kufanya jambo bila uoga wowote....
Kenya anti-terror laws: Court scraps main clauses - BBC News
 
Aisee, Kenya siMchezo bhana "chungu, taamu, damu nguvu na jasho ipo" ilimradi haki yake haipoteei au kunyakuliwa !!!!

Hongera jirani !!!
 
Umempa za uso mpaka naogopa yani.
 
hawaruhusiwi kutoa info kama hizo, kutwa kuficha ukweli, inafika mahali nchi iko kwa hali ya sintofaham na bila data kwa kila jambo, utaweza songa mbele kweli?
Hata hivyo siungi mkono mauaji ya raia na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…