kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Hakuna matunda wala nini, bado mtaendelea kuchaguana kwa ukabila tu. Maajabu ya dunia, mdhamini mkuu wa kundi la kigaidi la Wakikuyu (Mungiki), Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa kenya. Hatuna cha kujifunza toka kwenye siasa zenu, nyinyi endeleeni na vurugu zenu za kikabila.Usiishie kwenye kupost links za vurugu baina ya polisi na waandamanaji tu, endelea kupost link zote hadi za matunda ya hayo maandamano pia. Baada ya hayo maandamano, leo hii makamishna wanakwenda nyumbani na wataajiriwa wengine kwa kuzingatia utaratibu wa makini sana. Usipojifunza kitu hapo, basi una matatizo.