Kenya yazindua kiwanda cha maziwa kikubwa zaidi ya vyote EAC na Kati

Kenya yazindua kiwanda cha maziwa kikubwa zaidi ya vyote EAC na Kati

Twyford Tile Industries in Kenya is the largest tile factory in the whole of Africa my friend! Located in Kajiado Kenya. Check the facts and come again
Subiri this July au August kikifunguliwa utaujua ukweli,
 
Sio kikubwa Africa [emoji288] Mashariki
Labda uko kwenu Kenya ndio kikubwa
 
akisema hivyo hatakuwa anadanganya kwani Two rivers mall ndio mall kubwa afrika nzima nje ya Afrika Kusini..yaani ndio mall kubwa kabisa imeshinda nchi kubwa kubwa kama Egypt, Algeria, Morocco, Nigeria na zingine zote except SA......
Aisee ndugu uongo wa nini ??
Unasema two river side ndio mall kubwa baada ya SA, ndugu kuna mall kubwa egypt mara tatu la hilo la kenya linaitwa cairo festival city mall. Na liko lengine kubwa sana liko Morocco.
Mara nyengine usipendelee kuleta uongo hapa sawa.
 
Lingine mall kubwa kushinda hilo la kwenu ni morocco mall....
Sawa ndugu.
 
Aisee ndugu uongo wa nini ??
Unasema two river side ndio mall kubwa baada ya SA, ndugu kuna mall kubwa egypt mara tatu la hilo la kenya linaitwa cairo festival city mall. Na liko lengine kubwa sana liko Morocco.
Mara nyengine usipendelee kuleta uongo hapa sawa.
meant sub sahara africa
 
Two river mall ni kubwa uko Kenya sio Africa yote
Kenya Uganda Somalia Sudan Chad Tanzania Rwanda Botsaana Namibia Lesotho Swazi Malawi Mozambique Mauritius Nigeria Ghana Tunisia Libya..

Yaani Sub Saharan Africa Utoe South Africa

Ama Africa Yote Utoe
Morocco
Egypt na
Algeria
 
Izo toa na jumlisha zako sasa Ni drama
jibu ni rahisi tu ni mall kubwa Kenya
 
Well done! issue ni Production ya Maziwa upo wa kutosha na Ng'ombe wakutosha wapo.....Tulishawahi kua na Viwanda vya Maziwa Musoma Milk na Tanga Milk issue ikawa ni Maziwa maana walitegemea Maziwa kutoka kwa Watu na hawakua na Ng'ombe wao wenyewe km Kiwanda
 
Izo toa na jumlisha zako sasa Ni drama
jibu ni rahisi tu ni mall kubwa Kenya
😀 😀 😀 aisee kuwa mwalimu ndani ya danganyika ni tabu tupu. yaani 1+1 =2,,, kwanini isiwe 11? haaya leta vijiti
 
Wanatuiga tu, kwani sera yao ni ya viwanda?!!!!!!!
 
😀 😀 😀 aisee kuwa mwalimu ndani ya danganyika ni tabu tupu. yaani 1+1 =2,,, kwanini isiwe 11? haaya leta vijiti
Mnajipa kazi kuongea maneno mengi kwa maana ya kitu kidogo
 
Back
Top Bottom