Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Jinga lingine hili hapa!! Kenya nasi ni wamoja inaingia sababu ni EA. mwaminifu!! kwani si ulifundishwa ''Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja?? tatizo mishule ya kata hii!!! hili hulijui!! unazingatia mipaka ya Mkoloni!!Usituingize kwenye migogoro yenu. Ni Kenya vs falme za kiarabu. Tanzania hatuhusiki
ndo nyie ya damu babu zenu waliouza watumwa nyie!! Bado unaona kenya wao ni wao! na sisi ni sisi kivyetu?? AU Unaiju malengo yake wewe?? OAU Je uliwahi kuisikia? shabaha zake ni nini? hukusoma weye! umejua kuandika tu!
Mipka ya kikoloni umekujaa na ukajazika!! unabahati ningekupiga kofi moja tu hapo kuleeeee!! ndo maana mnauawa south ...kuuumbe mmeanzia humu humu! hili ni jukwaa la wasomi siyo vikaragosi kenge kabisa!