Kenya yazuia uuzwaji wa Ng'ombe kutoka Tanzania kutokana na maambukizi ya CoronaVirus kuwa mengi nchini Tanzania

Kaka umeeleza ukweli mtupu....Mazwazwa ya kirinyaga na kericho yatakuja kutoa povu...c unajua yamerogwa!!
Nina uhakika hilo jambo mhe Kenyatta atalipinga; wana siasa wa chini huaga wanadhani Kenya can survive without Tanzania, never, Uhuru anajua hilo na senior officials wengien pia wanalijua hilo, hawa magavana, wabunge hawana wanacho kijua, kwa ufupi, sio Kenya, Uganda, Rwanda or Burundi vinavyoweza kuisogeza GDP yao bila Tanzania, hakuna. Tanzania ndio baba wa EA, kubali ukatae, ndio ukweli. Kenya inahitaji sana soko Tanzania kwasababu ya uwingi wetu, Kenya inahitaji sana chakula kutoka Tanzania; anaebisha kwasasa aende baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa, Waganda wapo huko wakichukua mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile nyakati za 1977 tulipovunja EAC mipaka ya Kenya na tanzania ilifungwa kwa mda mmrefu sana! Wakati huo mlidhania Kenya itaumia, hatukumia wala hatukuangamia.....

Alafu Kenya na Uganda ndo zinategemeana zaidi kuliko Nchi zengine zozote hapa EAC.... Kenya bila Uganda ndo tunaeza sua sua, lakini Kenya bila Tanzania hata 1% ya GDP ya Kenya haitapotea.... Biashara kati ya Kenya na Tanzania imepungua sana tangu magufuli aingie madarakani,Tanzania na Kenya hawauziani vitu tena kama pale awali, kwahivyo hakuna lolote mnaeza tutishia tena manake mmli mwaga unga na mkamwaya maji hamna leverage tena!
 
Kwani ni nani aliyesababisha the former EAC kuvunjika kama sio nyie? Hapa EAC hakuna watu wana roho mbaya na wivu kama Kenyans; wewe hujui chochote, muulize rais wako au makamu wa rais; unakumbuka Enzi za rais Kikwete huku, mlipiga marufuku magari ya Tanzania kwenda uwanja wenu wa Ndege wa Nairobi, JK alijibu baada ya wiki moja kwamba Ndege zenu na nyie mwisho kutua Dar airport 14 times per week, Uhuru alikwenda kuomba poo na Maisha yaliendelea hadi leo. MWaka juzi kuna mbunge wenu mmoja eti alidai Watanzania walioko Kenya ni wazurulaji so waondoke, Wakenya walioko Tanzania ni professionals, hana hata uhakika na anacho kisema, bongo hi inao wakenya wengi tu ambao ni walinzi, vibarua na hata wauzaji wa dawa hizi za kiasili kutoka nje ya nchi, huyo mbunge hajui but tunakaa nao mtaani, nadhani rais Uhuru analijua hilo na ndio maana akapigwa stop kuropoka ropoka yule mbunge. Kenya haina jeuri ya kuishi bila Tanzania. Subiri msimu wa Utalii uanze halafu tuzuie Watalii wote wanaokuja kutoka huko duniani kuja kuuangalia mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti, tukizuia mpaka wasifike huku nyie kwisha habari yenu. Sisi ni waungwana sana, hatunaga bifu na yeyote, tunao Wanyarwanda, Warundi, Kenyans na hata Waganda wapo, hatuna shida yeyote.
 
INakaa wewe hata hauelewi ni nai anahitaji mwengine zaidi, sasa mkizulia watalii kuvuka mpaka, unadhani ni nani ataumia kati ya sisi na nyinyi? Watalii hua wamekuja Kenya, alafu pia hua wanataka kuuona Mt.kilimanjaro (hawa watalii wa aina hii hua hawaji kupanda mlima, wanakuja kupiga selfy tu) kwahivyo mkiwazuia ni nyinyi ndo mtaumia kwa kukosa mapato, huku Kenya bado watakuja na warudi kwao bila kuingia Tz,..... Kumbuka 40% ya watalii wanaofika Tanzania hua wameshuka JKIA mwanzo ndo wana connect hadi Tanzania!

Alafu alie sababisha EAC kuvunjika sio sisi! Nyinyi ndo mlikua na wivu tele, Kwa mfano, katika ile East African Airways, KEnya ndo ilikua mmiliki mkuu, ndege mpya ikinunuliwa Kenya ndo ilikua inatoa pesa, alafu baadae mnataka eti sisi tusiwe na wafanyikazi wengi au tusiwe na management kubwa katika hizo kampuni! Kivipina sisi ndo wamiliki wakuu? Kwasababu ya wivu mkavunja EAC mkifikiri eti Kenya itakufa, Tukaanzisha Kenya Airways ambayo ikawa kubwa hata kushinda hio East African Airways!

Financial difficulties deepened when both Tanzania and Uganda struggled or failed to pay their outstanding debts for the operations of the airline. EAA operations came to a total halt in January 1977.The airline had incurred in a debt of US$120,000,000 (equivalent to $506,293,245 in 2019) when it went into liquidation in February 1977, with the Kenyan government being one of the major creditors.
 
INakaa wewe hata hauelewi ni nai anahitaji mwengine zaidi, sasa mkizulia watalii kuvuka mpaka, unadhani ni nani ataumia kati ya sisi na nyinyi? Watalii hua wamekuja Kenya, alafu pia hua wanataka kuuona Mt.kilimanjaro (hawa watalii wa aina hii hua hawaji kupanda mlima, wanakuja kupiga selfy tu) kwahivyo mkiwazuia ni nyinyi ndo mtaumia kwa kukosa mapato, huku Kenya bado watakuja na warudi kwao bila kuingia Tz,..... Kumbuka 40% ya watalii wanaofika Tanzania hua wameshuka JKIA mwanzo ndo wana connect hadi Tanzania!

Alafu alie sababisha EAC kuvunjika sio sisi! Nyinyi ndo mlikua na wivu tele, Kwa mfano, katika ile East African Airways, KEnya ndo ilikua mmiliki mkuu, ndege mpya ikinunuliwa Kenya ndo ilikua inatoa pesa, alafu baadae mnataka eti sisi tusiwe na wafanyikazi wengi au tusiwe na management kubwa katika hizo kampuni! Kivipina sisi ndo wamiliki wakuu? Kwasababu ya wivu mkavunja EAC mkifikiri eti Kenya itakufa, Tukaanzisha Kenya Airways ambayo ikawa kubwa hata kushinda hio East African Airways!
NAdhani tufanye kwa vitendo tu ili tuprove nani anamtegemea mwenzie Zaidi. Ushahidi ni kwamba rais wenu kaisha omba poo mara mbili kwetu, let's see
 
Back
Top Bottom