Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya


Good Argument, Wrong Phrasing.

Kikubwa Tanzania ni kwamba viongozi hawakupewa nafasi ya kushika dola pamoja na makabila yao. Inawezekana viongozi wazuri walitoka kwenye haya makabila madogo kwa wakati huo. Kiongozi aliingia madarakani binafsi kwa kuinufaisha chama. Effectively chama ndio kabila Tanzania, ambacho ni kitu kizuri kwa sababu ni vigumu sana kumbagua mtu kwa chama chake (*debatable).
Kusema kuwa "makabila makubwa hayakupewa nafasi ya kushika dola..." ina maana kuwa huko nyuma, kiongozi mzuri angepatikana kutoka kabila kubwa (jambo ambalo limekuja kutokea katika awamu ya sasa....) asingeruhusiwa kushika dola.
 
hawajui wahaya wewe!

ni watu wabinafsi sana, sijapata kuona! Kwanza wanaangaliana wao kwa wao, tena ndugu! Unafikiri ule msemo wa mupe mupe, muruke ulitokea wapi?
 
bado sijaelewa hasa point yako ni nini.
hata hivyo asante kwa opinion yako.karibu.
 
Hahahaha wajaluo ni kama wahaya na wakikuyu ni kama wachaga

Heshima pesa
ndg yangu naona umevurugwa rafik yangu tangu lini ukamwona mhaya tozi au sharobaro?

Wahaya ni mojawapo ya makabila yakishamba Tanzania nzima yale majigambo na sifa ni asili tu ila hawana utozi wowote kwanza hata hawajui kuvaa
 
Kwahiyo unasemaje mkuu.. Ukabila na ukanda haupo awamu hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…