Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kwahiyo Wakikuyu kwenye samaki ni kama Wamasai maana na wao hawali samakKwetu ni haramu kula vitu vinavyoishi kwenye maji! Lakini mi huwa nararua tu! hehehe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Wakikuyu kwenye samaki ni kama Wamasai maana na wao hawali samakKwetu ni haramu kula vitu vinavyoishi kwenye maji! Lakini mi huwa nararua tu! hehehe!
Hao walikuwa zamani tangu enzi za ukoloni ni miongoni mwa makabla ambayo ni hard working nadhani baada ya uhuru ni kama walififishwa..(na ndio maana mji wa Mwanza pamoja na kwamba upo pembezoni na muda mrefu ulikuwa haujaunganishwa na mikoa mingine kwa barabara ya lami lakini bado uliweza kujitosheleza kwa wananchi wake kufanya biashara na nchi kama Kenya na Uganda kwa muda mrefu angalau sasa hivi ndio wamefungua mahusiano na Dar kutokana na miundombinu kuboreshwaEish ,mbona hawa jamii mbili kubwa zaidi Tz hawasikiki ama kuonekana? Quite the opposite na hawa jamii yetu waKikuyu wanaomiliki soft power na hard power .Ushawishi wanao mkubwa .
buda fanya utafiti mdogo tu,nenda twitter fatilia tweet nyingi zinazohusiana na incidents za armed robbery ndani ya miji ya kenya.
utapata nyingi zikihusisha majina ya vijana toka jamii ya Kikuyu.
ukweli ni kwamba,ukiona mtu anakamatwa katika tukio la kihalifu,huku akiwa na siraha,fahamu alishajihami kufanya chochote katika kujitetea.
tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.
bila shaka MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.
baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.
baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.
vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.
kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.
inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.
inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hao ndio wakinga kiboko ya wachaga.![]()
![]()
Nakubaliana na wewe kwa kitu kimoja, Wakikuyu na wachagga wako aggressive kwenye kutafuta pesa. Na hawako tayari kukubali eti kitu hiki hakiwezekani. Lakini Wahindi wote duniani ndugu, Muhindi wa Tanzania, Kenya, Uganda, India, Canada, UK au US wote ni ndugu. Na wanapitishiana dili chini-chini bila hata Mchagga au Mkikuyu kujua, angalia wahindi waliofukuzwa Uganda miaka 70's, wengine waliondoka na nguo walizo vaa tuu, leo hii wengine ni mabilionare nchi za juu.
Mji wa Leicester nchini Uingereza ndiyo makao makuu ya wahindi wa Uganda.
Wahindi wameshika sehemu nyingi muhimu kila mahali.
Wahindi wapo uhamiaji, kwenye ofisi za manispaa, posta, na pia wameshika biashara kama taxis kwa mfano ukiwa miji kama Leicester, Reading, Leeds, Luton, Bradford au Birmingham huwezi kuendesha taxi kwa raha maana wao ndiyo wanaongoza katika zile taxi ranks.
Wakikuyu wanajitahidi lakini wapo nyuma ya waghana na wanigeria ambao ndiyo wengi wenye maduka.
Lakini wapo wenye vijikampuni vya hapa na pale ingawa hata mishahara wanapunja sana na ukiwa ni mwafrika ndiyo wanakunyenga kwelikweli.
Ukishajua hilo kabila la wezi Kenya utafaidika nn ?Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.
Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
Sasa wizi gani unaongea juu yake? Ni wizi wa mifugo ama human body parts ?Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.
Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
Kuzaliwa mchaga tu pekee ni form sixHehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu
Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.
Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.
Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.
Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.
Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
Sina ushoga na wewe, kama u shoga basi huko huko kwenu.We shoga??
Sina ushoga na wewe, kama u shoga basi huko huko kwenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Khaaaaa wahaya hahaaaaaa
1. Ni kabila pekee Tanzania linalotumia lugha tatu katika mawasiliano yaani kihaya,kiswahili na kiingereza kwa wakati mmoja yaani hata kama mtu hajasoma hata darasa moja ila kumsikia akisema actually, ok ,of course ni kawaida ...
Mfano wa sentensi ni "nshomire mpaka form four but no job".. (nimesoma mpaka kidato cha nne lakini hakuna kazi)
Usishangae kuona kuwa parachichi kwa kihaya ni evikado =avocado
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
2. Ni watu wazuri katika kujitambulisha Katika audience na sharti utaje status yako,hujitambulisha vyema hata katika vitu vigumu kwa mfano ...
Kuna muhaya alikuwa akifanya kazi motuary (mochwari) na wakati wa kujitambulisha kama mjomba wa bi harusi ukafika ..Alipopewa mic sasa "naitwa muganyizi .. Actually im attending wagonjwa walioshindikana kutibiwa na madaktari bingwa hospitali ya muhimbili..."
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
thread hii ni nzuri kwa kweli