mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Wakinga wenye viwanda wapo wengi tu hasa huko Iringa na Mbeya.watu wengi wanaamini wakinga wameibul juzi kwenye biashara kitu ambacho si kweli.Wakinga wameanza kitambo sana kuwekeza kwenye hotels(japo sio hotel za hadhi ya juu),Usafirishaji kwa njia ya mabasi na malory,.Biashara ya Mbao, maduka makubwa hasa katika mikoa ya Mby,Iringa na Njombe.Isipokuwa Mikoa mingine ikiwepo Dar ndo wameingia miaka ya karibuni.sawa mzee wa busara...nilidhani ni mkinga.
hivi ni kweli hakuna mkinga mwenye kiwanda ukiachilia mbali maduka ya vifaa vya ujenzi?