Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

sawa mzee wa busara...nilidhani ni mkinga.

hivi ni kweli hakuna mkinga mwenye kiwanda ukiachilia mbali maduka ya vifaa vya ujenzi?
Wakinga wenye viwanda wapo wengi tu hasa huko Iringa na Mbeya.watu wengi wanaamini wakinga wameibul juzi kwenye biashara kitu ambacho si kweli.Wakinga wameanza kitambo sana kuwekeza kwenye hotels(japo sio hotel za hadhi ya juu),Usafirishaji kwa njia ya mabasi na malory,.Biashara ya Mbao, maduka makubwa hasa katika mikoa ya Mby,Iringa na Njombe.Isipokuwa Mikoa mingine ikiwepo Dar ndo wameingia miaka ya karibuni.
 
Wachagga wako kwenye kila kitu, kuanzia kupiga rangi viatu, kuuza karanga, kuuza supu, nyama choma, biashara ya bar, maduka, daladala, hardware,hotel, ndege, madini mpaka na ujambazi. Nadhani ukienda sehemu katika jamuhuri ya muungano wa Tanzania ukamkosa mchagga basi ondoka haraka sana hiyo sehemu.
 
kuna mkinga mmoja ni jirani yangu,amefanikiwa sana katika biashara zake.

ana nyumba za kupangisha zinafika 40,viwanja na mashamba sijui idadi.very successful man.
 
Hilo la upishi wa supu umegonga kwenyewe. Yaani ukiagiza supu ama nyama choma ama kitimoto mahali usiposkia jina la mpishi Tarimo ama Tesha ama Shirima ama Silayo ama Moshi basi utalishwa kibudu. Baa nyingi kubwa jamaa jikoni wanakorofisha.

Umenikumbusha kuna jamaa aliingia top 5 kwenye mashindano ya upishi ya dunia. Jamaa ana choma nyama maeneo ya kinondoni. Halafu mara nyingi huingia mikataba na wenye mabaa maana nyama na supu huendana na bia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mkinga mmoja ni jirani yangu,amefanikiwa sana katika biashara zake.

ana nyumba za kupangisha zinafika 40,viwanja na mashamba sijui idadi.very successful man.
Wao na Wapemba wanafanya vizuri kutokana na wanavyosifika. Ila kuanza kuponda Wachagga ataa si sawa ni sawa na kuponda Waasia Watanzania angalia NMB, IM Bank, CRDB na Akiba Commercial Bank na nyinginezo kuna wazee wana shares zile 5 to 10%. Sasa piga hesabu 5% ya CRDB ni kiasi gani? Halafu wapo wana share kwa all top 5 banks in Tanzania. Wengine kwenye TBL na Serengeti Breweries. Wanakula pension pole pole. ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninachowapendea wahaya ni kitu kimoja tu.sio wachoyo.wanajua sana kum-treat mgeni.

hawataki ukiondoka uondoke na sifa mbaya kuhusu wao.yupo radhi azidishe hata matumizi ya fedha kuku-treat ili sifa yake ibaki pale pale.

wanapopata nafasi ya kusoma,hawaichezei,wanasoma kwa bidii sana.

atahakikishaana anamaliza masomo na kupata marks nzuri katika mitahani.
Mkuu umewataja hawa watu(wahaya) nikasikia tumbo linasokota kwa hasira.wana roho mbaya sana hawa,hawana utu kabisa hawa.Kuna mmoja alikuwa boss wangu kwenye shirka flani kanichongea nikafukuzwa kazi hivi hivi kiroho mbaya.Lkn Mungu si Athumani nae kafukuzwa baada ya mwaka 1 tu.wanajisikia mno hawa watu!Nliwahi kukutana na nae mjini Arusha alitamani kukimbia.kwanza anaweza kuwa humu!
 
Polee kaka ila huyo ni mmoja katika zaidi ya milioni mbili samehe 70×70

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luos are not powerful, just popular and famous, thus widely known. The powerful tribes in Kenya ni Kalenjins and Kikuyus! mfano, Luhyas and Luos (western and nyanza) combined can't challenge the Kalenjins economically, tunaelewa in our world economy(money) is power, with it u can pull many strings, labda mwanzilishi wa uzi u operationalize the term "powerfull" to suit the context of your argument.
And you must be Kalenjin
 
Polee kaka ila huyo ni mmoja katika zaidi ya milioni mbili samehe 70×70

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu nlisha msamehe kabisa maana Mungu kamlipa ndani ya muda mfupi tu.Ila kanifanya niamini wahaya wote wana roho mbaya.Huwezi amini jamaa kabla ya kunifukuzisha kazi,kuna kazi flani yenye dili zuri tu,kanifanyisha kwa wiki mbili maporini afu kachukua hela mwenyewe baada namuuliza eti ananijibu 'aah hiyo hela nimeshamaliza,nimenunulia kiwanja'fikiria saa hizo ulikua na mategemeo angalau ya kujipooza kwa kazi ngumu ulofanya afu mtu anakujibu kirahisi tu hivyo na hata kumi hajakupa!
 
Nafikiri ni exposure ya mtu tu, maana kule mlima Kenya hakuna ziwa, hivyo wengi wamekutana na samaki baada ya kutoka. Mimi nimelelewa mjini ambapo tulitangamana na Wajaluo na makabila mengine, hivyo nimekua na fursa ya kula vyakula vya aina nyingi.
Lakini taratibu Wakikuyu wameanza kupokea huo mlo wa samaki, kwanza Ukikuyuni wamejenga mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki.
Exposure tu basi, maana siku ya kwanza niliona watu wanakula pweza huko Dar nikapata kichefuchefu, leo hii mchuzi wa pweza ndio kila kitu kwangu kila nikiwa Dar.
Ha ha haaaaa! Sawa mzee! Endelea kupata supu ya pweza ili kujenga afya!

Japo najua kapo ka sababu kadogo naskia huko nyuma ndo kalikuwa chanzo plus exposure!
 
jamaaa hawavumi lakini wamo...sijajua ni kwa nini wanapenda sana biashara maeneo ya mpakani..
Hilo nalo kweli linahitaji utafiti! lakini nahisi ni kwa sababu ya asili wanakotoka maeneo mengi ya utaftaji yamekaliwa na makabila mengine yenye nguvu, hivyo mpakani inaweza kuwa bora kwao maana ni eneo lenye mchnganyiko wa watu mbali mbali
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
Ujanja hapo unaouzungumzia ni upi, kuwa muwazi ?
 
Mkuu umewataja hawa watu(wahaya) nikasikia tumbo linasokota kwa hasira.wana roho mbaya sana hawa,hawana utu kabisa hawa.Kuna mmoja alikuwa boss wangu kwenye shirka flani kanichongea nikafukuzwa kazi hivi hivi kiroho mbaya.Lkn Mungu si Athumani nae kafukuzwa baada ya mwaka 1 tu.wanajisikia mno hawa watu!Nliwahi kukutana na nae mjini Arusha alitamani kukimbia.kwanza anaweza kuwa humu!
Ni kweli kuna wahaya wana tabia mbaya, ila mkuu usigeneralise sana kuna watu wana roho pekee sana
 
Sawa lakini ku-generalize kwamba kwa biashara ya maduka wanawafunika Wachagga sidhani kama sawa. Hebu angalia mali za mtu anaitwa Mrema kafariki juzi halafu upate picha ya ninacho jaribu kusema. Huyo jamaa ana real estate projects za nguvu mpaka Nairobi ukiacha hoteli alizoacha na project nyingine zikiendelea. Je wa Peacock anaweza kufananishwa na huyo? Unajua biashara ya mabasi na malori ni kitu cha kawaida sana kwa watu wa Moshi? Fuatilia vizuri uone. Halafu uje kwenye usafiri wa anga pia. Labda TCAA watusaidie kuona wamiliki wazawa wa scheduled na chatter flights pia choppers.

Na si kwamba sitambui ujasiriamali wa Wakinga ila kuna upotoshaji kwa unachosema. Wakati wakinga wanachipukia kwenye maduka ya jumla kuna watu wanaingia mikataba na Wachina na Wajerumani kuwekeza viwanda vya vifaa vya Ujenzi Tanzania. Kuna watu wanamiliki biashara ya ku-export kahawa, kakao, pulses, maua na mbogamboga kwenda Ulaya na mahindi kwenda Kenya, DRC yaani wanalisha nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nachekaga tu watu wanaosema Mkinga ni kiboko ya Mchaga kwa biashara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom