elbarik
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 576
- 395
Kwahivyo jomba hizo beer zote huwa unatutupia humu ni za kununuliwa. [emoji23] [emoji23]yaani wahaya kujisifu ni instinct ambayo ipo kwenye damu yao....mda mwingine hujikuta tu wakijisifia au wakisifia issues zao zinazowahusu bila hata wao kujua kuwa wamejisifia.
kuna mmoja nipo nae ofisi moja,ni rafiki yangu.
nikiwa naye maeneo ya kula bata, najua nitakunywa bia nyingi sana.
mda wote hupenda kunitambulisha kwa jamaa zake kuwa mimi ni mfanyakazi wake eti yeye ndio boss.
kwakuwa najua udhaifu wake,naishia tu kucheka,basi hapo zitashuka bia za kumwaga.
[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app