Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.

bila shaka MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.

baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.

baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.

vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.

kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.

inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.

inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hao ndio wakinga kiboko ya wachaga.[emoji23] [emoji23]
 
Hujasema nani aliibuka mshindi kati yako na wachagga.

Mchagga na Mkikuyu ngoma huwa droo, tukikutana huwa inabidi tuheshimiane na kila mmoja atulize ili mambo yaende, ni kama Mrusi na Mmarekani. Lakini akiingilia mtu kati, anaishia kilio.
Ipo siku nilicheka sana, tulikua tunajadili mradi fulani hapo Dar, kikao kilikua cha wadau wanne, mimi, jamaa mmoja Mchagga na jamaa wengine kutokea Tanga na Mwanza.
Sasa kwenye gumzo za kawaida tukaanza kutaja asili zetu, aisei pale Mchagga na mimi Mkikuyu tulipojitambulisha, wale wengine wakapiga mayowe kwamba wameisha maana kuwahusisha Mchagaa na Mkikuyu kwa mpigo kwenye mradi wao watakua wameisha, tulicheka sana.....ila mradi tuliufanya kwa ushirikiano na mambo yakaenda sawa hatimaye.
 
Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.

Umewasahau ingizo jipya la Wakinga ,hawa wanakimbiza wachaga huko Kariakoo.Tofauti ya mkinga na mchaga ni kwenye matumizi ,wachaga wanatumia pesa lakini wakinga ni wabahili yaani unaweza kuwahesabu wanaokwenda viwanja, pia wakinga washirikina balaa
 
tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.

bila shaka MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.

baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.

baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.

vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.

kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.

inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.

inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hapo ndio wakinga kiboko ya wachaga.[emoji23] [emoji23]

Wakinga jamaa wa Iringa, kuna mmoja huwa napenda sana kushukia kwenye hoteli yake Dar, kiasi kwamba nimekua kama ndugu kwake. Au labda katumia ushirikina kwamba nikija Dar nawaza tu hoteli yake.....hehehehe
Japo wabahili sana hao watu lakini wanajituma balaa.
 
Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua muhindi atakuwa wa mwisho, kumwibia muhindi bila yeye kujua rahisi sana!
 
Mchagga na Mkikuyu ngoma huwa droo, tukikutana huwa inabidi tuheshimiane na kila mmoja atulize ili mambo yaende, ni kama Mrusi na Mmarekani. Lakini akiingilia mtu kati, anaishia kilio.
Ipo siku nilicheka sana, tulikua tunajadili mradi fulani hapo Dar, kikao kilikua cha wadau wanne, mimi, jamaa mmoja Mchagga na jamaa wengine kutokea Tanga na Mwanza.
Sasa kwenye gumzo za kawaida tukaanza kutaja asili zetu, aisei pale Mchagga na mimi Mkikuyu tulipojitambulisha, wale wengine wakapiga mayowe kwamba wameisha maana kuwahusisha Mchagaa na Mkikuyu kwa mpigo kwenye mradi wao watakua wameisha, tulicheka sana.....ila mradi tuliufanya kwa ushirikiano na mambo yakaenda sawa hatimaye.
Ilitakiwa chuo chochote kifanye utafiti wa hayo makabila mawili, lazima DNA zenu zinatoka mbali sana na Africa. Waafrika wengi ni wapole.

Nimesikia Wachina wanasema wamepata makaburi ya ndugu zao wa kale hapo Kenya.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua muhindi atakuwa wa mwisho, kumwibia muhindi bila yeye kujua rahisi sana!
Really? Hao jamaa (wahindi) wamejaa dunia nzima wanapiga hela kila upande.
 
Umewasahau ingizo jipya la Wakinga ,hawa wanakimbiza wachaga huko Kariakoo.Tofauti ya mkinga na mchaga ni kwenye matumizi ,wachaga wanatumia pesa lakini wakinga ni wabahili yaani unaweza kuwahesabu wanaokwenda viwanja, pia wakinga washirikina balaa
Najuwa wakinga ni waangaikaji na wanatabia ya kuamini wanafanya nao biashara, lakini isitoke ukamzulumu Mkinga, atakumakiza kabisa.
 
Tufahamishe ni kabila lipi wanasemaga ikulu ndiyo yao Kenya[wamejibinafsishia urais] na kuwananga kabila lingine kuwa hawataingia ikulu kamwe?
 
Really? Hao jamaa (wahindi) wamejaa dunia nzima wanapiga hela kila upande.
Wapo kila sehemu kwa sababu ya historia ya ukoloni, na kila sehemu walipo utakuta ni raia wa hapo kabisa! Hivyo sio kuwa walitoka kwao kuja huku kuchuma noti (kama wafanyavyo wazungu/wachina) ila wao walikuja kipindi cha utumwa japo walikuja kibiashara lakini ndo wakalowea kabisa!

Mchaga na mkikuyu hawawezi kulowea hata ufanyeje, watapiga hela mwisho wa siku lazima warudi kwao!

Pia angalia, watu wengi sana wametajirika kupitia migongo ya wahindi! Sio kwa kulipwa mshahara ila kwa kuwaibia bila wao kujua! wahindi ni moja ya watu wanaolipa mishahara kiduchu sana!

Sasa tafuta kama kuna mtu utakuta eti mali yake alitoa kwa mchaga au mkikuyu! Hawa jamaa wanaweza kukuibia hadi mshahara wanaokulipa! Anaweza kuwa anakukopesha vitu kila siku akija kukulipa mshahara unakuta nusu inabaki kwake!

Haya mambo muhindi hawezi! Yeye anataka kila siku uonekane hujaendelea basi anarizika.
 
Ilitakiwa chuo chochote kifanye utafiti wa hayo makabila mawili, lazima DNA zenu zinatoka mbali sana na Africa. Waafrika wengi ni wapole.

Nimesikia Wachina wanasema wamepata makaburi ya ndugu zao wa kale hapo Kenya.
tatizo ni dhamira zetu za kinafiki kiasi kwamba yoyote thubutu kufanyia utafiti hilo,wengine watamchukukia mkabila.
 
Wapo kila sehemu kwa sababu ya historia ya ukoloni, na kila sehemu walipo utakuta ni raia wa hapo kabisa! Hivyo sio kuwa walitoka kwao kuja huku kuchuma noti (kama wafanyavyo wazungu/wachina) ila wao walikuja kipindi cha utumwa japo walikuja kibiashara lakini ndo wakalowea kabisa!

Mchaga na mkikuyu hawawezi kulowea hata ufanyeje, watapiga hela mwisho wa siku lazima warudi kwao!

Pia angalia, watu wengi sana wametajirika kupitia migongo ya wahindi! Sio kwa kulipwa mshahara ila kwa kuwaibia bila wao kujua! wahindi ni moja ya watu wanaolipa mishahara kiduchu sana!

Sasa tafuta kama kuna mtu utakuta eti mali yake alitoa kwa mchaga au mkikuyu! Hawa jamaa wanaweza kukuibia hadi mshahara wanaokulipa! Anaweza kuwa anakukopesha vitu kila siku akija kukulipa mshahara unakuta nusu inabaki kwake!

Haya mambo muhindi hawezi! Yeye anataka kila siku uonekane hujaendelea basi anarizika.

Nakubaliana na wewe kwa kitu kimoja, Wakikuyu na wachagga wako aggressive kwenye kutafuta pesa. Na hawako tayari kukubali eti kitu hiki hakiwezekani. Lakini Wahindi wote duniani ndugu, Muhindi wa Tanzania, Kenya, Uganda, India, Canada, UK au US wote ni ndugu. Na wanapitishiana dili chini-chini bila hata Mchagga au Mkikuyu kujua, angalia wahindi waliofukuzwa Uganda miaka 70's, wengine waliondoka na nguo walizo vaa tuu, leo hii wengine ni mabilionare nchi za juu.
 
tatizo ni dhamira zetu za kinafiki kiasi kwamba yoyote thubutu kufanyia utafiti hilo,wengine watamchukukia mkabila.

Ni uelewaji tuu ndio unatusumbua, siwezi kusema kama hatutaki kujuwa mambo, lakini hatujawa umuhimu wa kuangalia vitu ki sayansi.
 
Afu mnaongelea wanaume tu,au vipi? Wanawake wa kijaluo huwa nawaogopa,kwenye ugomvi wa nyumbani wao ni ving'ora aisee! Wanaitaga wapita njia hadi na majirani wote kwanza, afu ndo wanaanza zao, na kile kiswahili chao! ''Hii ndo manaume buure! Osiepna,huyu ni buuure kabisa, ang'oa! Manaume wanakula omena na ugali kilo mbili na avocado tatu na uji na hawashibi! Uuuuwi, alafu usiku wanachukua nyonyo yangu wanamaliza chakula wote wa matoto yangu Omoss! Hadi Omoss wameshikwa na marassmass! Uuuwi okethoree'' Hehe😀😀😀
 
Back
Top Bottom