tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.
bila shaka
MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.
baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.
baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.
vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.
kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.
inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.
inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hapo ndio wakinga kiboko ya wachaga.[emoji23] [emoji23]