Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

yaani wahaya kujisifu ni instinct ambayo ipo kwenye damu yao....mda mwingine hujikuta tu wakijisifia au wakisifia issues zao zinazowahusu bila hata wao kujua kuwa wamejisifia.

kuna mmoja nipo nae ofisi moja,ni rafiki yangu.
nikiwa naye maeneo ya kula bata, najua nitakunywa bia nyingi sana.

mda wote hupenda kunitambulisha kwa jamaa zake kuwa mimi ni mfanyakazi wake eti yeye ndio boss.

kwakuwa najua udhaifu wake,naishia tu kucheka,basi hapo zitashuka bia za kumwaga.
[emoji23] [emoji23]
Kwahivyo jomba hizo beer zote huwa unatutupia humu ni za kununuliwa. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekee ngwere morio, ithue agikuyu twendete mbeca ciitu ta caitaani!😀 Umesahau tabia yetu ya kuongea kikikuyu hata tukiwa wawili tu katikati ya watu kumi wasiofahamu lugha hiyo? Kama haijakuudhi utakuwa unapenda kikikuyu wewe! Hapo kwa kuuana kwa sababu ya pesa ndo sasa umetia ukakasi!
Kuna mahali ulisema wewe si Kikuyu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kadoda11 game over Kina Kawira, Mwende, Nkatha ni watamu aisee! Huwa wana shepu poa sana yaani kitu laptop size! Nachowapendea wasichana wa kimeru akishaingia kwenye chumba cha kulala anaanza kwa kutoa nguo zote afu anakaa kwenye kona ya kitanda. Kisha anakutupia macho, hamna cha aibu wala nini! Ukweli, uongo?
 
Hebu agiza mzinga (konyagi) ntalipa bili![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maanake hizi nondo za leo sio bure[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hebu agiza mzinga (konyagi) ntalipa bili![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maanake hizi nondo za leo sio bure[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Aisee konyagi? Hiyo kitu ni kali sana! Bahati yangu mbaya tulikosana na pombe tukaachana! Mwaka unafika wa tatu sasa hatujarudiana ata mimi siamini. Shukran mkuu, tuma basi hela kwa mpesa ntanunua angalau hata kreti ya soda au thamosi ya chai! 😀 Ukirusha mpesa kumbuka pia kutuma pamoja na ya kutoa 😀
 
Luos are not powerful, just popular and famous, thus widely known. The powerful tribes in Kenya ni Kalenjins and Kikuyus! mfano, Luhyas and Luos (western and nyanza) combined can't challenge the Kalenjins economically, tunaelewa in our world economy(money) is power, with it u can pull many strings, labda mwanzilishi wa uzi u operationalize the term "powerfull" to suit the context of your argument.
 
Haaa mkuu umesahau kuwa offer haitolewi in terms of cash[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haaa mkuu umesahau kuwa offer haitolewi in terms of cash[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah. Utakuwa mchaga wewe! Hivi unafahamu ule wimbo wa...utaacha mali yako utaendaaa...utaendaaa....utaendaaa.X15🙂...utaenda mbinguni kwa baba! Hehe natumai ujumbe wangu umekufikia!
 
tatizo lao ni kwamba wengi wametahiriwa....kwenye kale kamchezo inabidi mpini uwe ngangari kweli kweli ili afike kwenye kilele cha mount kenya.

na akigundua kuwa unamudu kumfikisha kwenye kilele cha mlima kenya,hakuachi.atakuganda sana.

akigundua unam-cheat ni vita inayoweza sababisha hata maafa.
Hahahaha, mkuu nashukuru kwa uzoefu,
Nakaribia kuopoa kazi nyingine aisee, Nina trip mwezi ujao na nishaandaa mazingira, sitafanya makosa.![emoji14] [emoji14]
Kazi za kikenya nilizobahatika kukutana Nazo huwa zipo [emoji817] upstairs. Ni raha sana kumiliki kazi za namna hii.
 
Kwahivyo jomba hizo beer zote huwa unatutupia humu ni za kununuliwa. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!...inaonekana you are my number one fan...yaelekea huwa unafatilia sana post zangu.

kuhusu bia ninazo tupia humu,huwa najinunulia mwenyewe kwa pesa yangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
buda fanya utafiti mdogo tu,nenda twitter fatilia tweet nyingi zinazohusiana na incidents za armed robbery ndani ya miji ya kenya.

utapata nyingi zikihusisha majina ya vijana toka jamii ya Kikuyu.

ukweli ni kwamba,ukiona mtu anakamatwa katika tukio la kihalifu,huku akiwa na siraha,fahamu alishajihami kufanya chochote katika kujitetea.
Wagikuyu ni majambazi sana mfano mungiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luos are not powerful, just popular and famous, thus widely known. The powerful tribes in Kenya ni Kalenjins and Kikuyus! mfano, Luhyas and Luos (western and nyanza) combined can't challenge the Kalenjins economically, tunaelewa in our world economy(money) is power, with it u can pull many strings, labda mwanzilishi wa uzi u operationalize the term "powerfull" to suit the context of your argument.
powerful into politics,that's I want I meant to say.

Kikuyu's and juluos are behind in setting all political agendas in kenya.

makabila mengine huwa yanachagua upande wa kujiunga nao.
 
ongeza na wasomali hapo..japo wanasifika sana kwa ugaidi ila upande mwingine kibiashara wako vizuri
wasomali ni ma-hustlers sana.

wameishika boda ya namanga katika biashara ya kubadilisha fedha.

wanakuwahi kwenye basi kilomita moja kabla hujafika boda ya namanga ili kama una hitaji fedha ya nchi ya kenya au ya tanzania uweze ku-change mapema kabla hujavuka kuingia upande wa pili.

akigundua kuwa wewe ni mgeni katika kujua namna ya kucheza na hesabu za exchange rate, lazima akupige.huyo ndio msomali.[emoji23] [emoji23]
 
Game Over katika ubora wako.tisha sana mzazi.

umefafanua vizuri sana na kwa kiswahili chepesi kiasi kwamba hata yule ambaye alikwepa somo la jiographia sekondari ni nahisi kuelewa.

sasa nimegundua sababu anayofanya nibabuke ngozi na kuwa mweusi kila ninapotembelea kenya na kuishi nairobi angalau kwa mwezi mmoja.

wakati naishi kenya,kila nilipokuwa narejea dar,familia yangu ilikuwa inaniambia nimekuwa mweusi.kumbe ni issues za kisayansi.[emoji23]

bila shaka MK254 alipokuwa anarudi kwao Kenya kutoka dar,familia yake ilimshangaa kwa kutakata ngozi.hali ya hewa ya dar haimtupi mtu bhana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Japo kuna kaukweli kwenye hilo la kukaribia Equator, lakini kiuhalsia haina mantiki maana huko Bongo kuna wau weusi tititi tena walio mbali sana na Equator. Kumbuka Kenya dada zangu Wakikuyu wapo karibu sana na Equator lakini wengi huwa na ngozi nyeupe pepepe....
 
mabinti wakikuyu ndio angalau kidogo wanaweupe kuzidi mabinti toka kabila zingine za upande wa kenya bara.

issue sio weupe tu,hata ubora wa ngozi kwa baadhi ya wakenya ni tofauti sana na wale wakutokea pwani ya kenya.

nadhani alicho gusia game over kuhusu equatorial condition kina mantiki fulani.
 
Na pia mabinti wetu waMeru kuna wengi weupe angalau kwetu Meru ni eneo karibu sana sana na equator.Wale watu wa Gambia na Senegal ni weusi kama makaa ingawa wanatoko Afrika kule juu mbali na equator.
 
Back
Top Bottom