Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Dah. Utakuwa mchaga wewe! Hivi unafahamu ule wimbo wa...utaacha mali yako utaendaaa...utaendaaa....utaendaaa.X15🙂...utaenda mbinguni kwa baba! Hehe natumai ujumbe wangu umekufikia!
Ha ha haaaaaa! huo ujumbe mbona kuntu[emoji4] [emoji4]
 
Halafu niulize kaswali kadogo, hivi kwa nini wakikiyu wengi hawapendi kula samaki? CC MK254

Nafikiri ni exposure ya mtu tu, maana kule mlima Kenya hakuna ziwa, hivyo wengi wamekutana na samaki baada ya kutoka. Mimi nimelelewa mjini ambapo tulitangamana na Wajaluo na makabila mengine, hivyo nimekua na fursa ya kula vyakula vya aina nyingi.
Lakini taratibu Wakikuyu wameanza kupokea huo mlo wa samaki, kwanza Ukikuyuni wamejenga mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki.
Exposure tu basi, maana siku ya kwanza niliona watu wanakula pweza huko Dar nikapata kichefuchefu, leo hii mchuzi wa pweza ndio kila kitu kwangu kila nikiwa Dar.
 
Na pia mabinti wetu waMeru kuna wengi weupe angalau kwetu Meru ni eneo karibu sana sana na equator.Wale watu wa Gambia na Senegal ni weusi kama makaa ingawa wanatoko Afrika kule juu mbali na equator.
Kitu ungewaeleza waTz ni kuwa Kenya kuna wabantu, waniloti na cushites.
 
Aisee umenikumbusha kuna wasomali fighters kweli kweli, Siku moja nilisema niingie kenya kupitia border ya sirari, na kwa kuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza kupitia mpaka huu ilibidi nichukue mda kidogo pale mpakani!

Upande wa kenya 90% ya wafanya biashara pale ni wasomali, tena wanaongea kiswahili kimenyooka kweli kweli!
jamaaa hawavumi lakini wamo...sijajua ni kwa nini wanapenda sana biashara maeneo ya mpakani..
 
tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.

bila shaka MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.

baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.

baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.

vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.

kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.

inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.

inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hao ndio wakinga kiboko ya wachaga.[emoji23] [emoji23]
Kwa jinsi unavyoongelea Wakinga nikajua wana maviwanda, ma-real estate, media houses, mashirika ya usafirishaji, mahoteli ya nyota nne na tano. Cha ajabu unaongelea biashara ya maduka yaani uchuuzi tena kwa Kariakoo halafu unafananisha na Jamii yenye investments kwenye huduma za kibenki, madini, viwanda, usafirishaji na mahoteli yenye hadhi. Kuwa serious basi Mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
MK254,
Utani kidogo:
muhaya anayewakilisha wahaya wote wa jf kwa kuandika kwa kingereza ni huyu jamaa anajiita Rutashubanyuma.

sina hakika sana kama ni muhaya,huenda anatumia tu jina lenye ufanano na wahaya.
3aa295916ec6b4064e71ff9d1bf070ba.jpg

jamaa ana-topic yake hii hapa:Why Magufuli administration misses the point on government splurge
ukipata mda ipitie.

huko ni kingereza tu,tena sio kile cha kawaida tunacho jaribu kuandika akina sie,ni kile cha ma-jargon na
ma-synonym ambayo sio common sana kwa wazungumzaji wa kingereza.

kwa kuwa nipo opposite na opinion zake kuhusu JPM,niliamua nipambane naye kwa kiswahili tena kiswahili cha kihuni huku nikim-troll kidogo kidogo.[emoji23]

nikamwambie wewe andika tu hayo "majagoni" yako,nitakuwa nakujibu kwa kiswahili.

ikafika wakati akakasirika,akanichongea kwa moderator,hatimaye nikanyimwa access ya kuandika comment kwenye thread yake kwa muda wa siku kadhaaa.wahaya bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

ruta usinikasirikie,nimeandika kama utani tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa jinsi unavyoongelea Wakinga nikajua wana maviwanda, ma-real estate, media houses, mashirika ya usafirishaji mahoteli ya nyota nne na tano. Cha ajabu unaongelea biashara ya maduka yaani uchuuzi tena kwa Kariakoo halafu unafananisha na Jamii yenye investments kwenye huduma za kibenki, madini, viwanda, usafirishaji na mahoteli yenye hadhi. Kuwa serious basi Mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app

nilikuwa hasa naangazia wakinga vijana
ambao wamechipukia kwenye ujasiriamali miaka ya hivi karibuni.kwa hakika wamefanikiwa kwa kiasi fulani hasa katika maduka mkubwa ya jumla.

sidhani kama wamejiingiza kwenye uwekezaji mkubwa wa viwanda,hata hivyo, kwa speed yao sitoshangaa wakianza kuingia huko.

wapo wakinga wazee ambao investment zao zinafahamika,mfano ni mmiliki wa kampuni ya usafirishaji ya super feo express na mmiliki wa peacock hotel.
d7825a45aa66edb1a662a7e542d558cd.jpg
bbe269a83627cc05e0a487d9eafe2174.jpg
9494ada02dc8b8b589a90abbade64e3b.jpg
bda4c326481d9153422adea7d11f8623.jpg
c5d8637d3db0852c5fdf1b46cbc0c8e2.jpg
 
Sawa lakini ku-generalize kwamba kwa biashara ya maduka wanawafunika Wachagga sidhani kama sawa. Hebu angalia mali za mtu anaitwa Mrema kafariki juzi halafu upate picha ya ninacho jaribu kusema. Huyo jamaa ana real estate projects za nguvu mpaka Nairobi ukiacha hoteli alizoacha na project nyingine zikiendelea. Je wa Peacock anaweza kufananishwa na huyo? Unajua biashara ya mabasi na malori ni kitu cha kawaida sana kwa watu wa Moshi? Fuatilia vizuri uone. Halafu uje kwenye usafiri wa anga pia. Labda TCAA watusaidie kuona wamiliki wazawa wa scheduled na chatter flights pia choppers.

Na si kwamba sitambui ujasiriamali wa Wakinga ila kuna upotoshaji kwa unachosema. Wakati wakinga wanachipukia kwenye maduka ya jumla kuna watu wanaingia mikataba na Wachina na Wajerumani kuwekeza viwanda vya vifaa vya Ujenzi Tanzania. Kuna watu wanamiliki biashara ya ku-export kahawa, kakao, pulses, maua na mbogamboga kwenda Ulaya na mahindi kwenda Kenya, DRC yaani wanalisha nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakini ku-generalize kwamba kwa biashara ya maduka wanawafunika Wachagga sidhani kama sawa. Hebu angalia mali za mtu anaitwa Mrema kafariki juzi halafu upate picha ya ninacho jaribu kusema. Huyo jamaa ana real estate projects za nguvu mpaka Nairobi ukiacha hoteli alizoacha na project nyingine zikiendelea. Je wa Peacock anaweza kufananishwa na huyo? Unajua biashara ya mabasi na malori ni kitu cha kawaida sana kwa watu wa Moshi? Fuatilia vizuri uone. Halafu uje kwenye usafiri wa anga pia. Labda TCAA wstusaidie kuona wamiliki wa scheduled na chatter flights na choppers.

Na si kwamba sitambui ujasiriamali wa Wakinga ila kuna upotoshaji kwa unachosema. Wakati wakinga wanachipukia kwenye maduka ya jumla kuna watu wanaingia mikataba na Wachina na Wajerumani kuwekeza viwanda vya vifaa vya Ujenzi Tanzania. Kuna watu wanamiliki biashara ya ku-export kahawa, kakao, pulses, maua na mbogamboga kwenda Ulaya na mahindi kwenda Kenya, DRC yaani wanalisha nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sawa geza ulole
 
nilikuwa hasa naangazia wakinga vijana
ambao wamechipukia kwenye ujasiriamali miaka ya hivi karibuni.kwa hakika wamefanikiwa kwa kiasi fulani hasa katika maduka mkubwa ya jumla.

sidhani kama wamejiingiza kwenye uwekezaji mkubwa wa viwanda,hata hivyo, kwa speed yao sitoshangaa wakianza kuingia huko.

wapo wakinga wazee ambao investment zao zinafahamika,mfano ni mmiliki wa kampuni ya usafirishaji ya super feo express na mmiliki wa peacock hotel.
d7825a45aa66edb1a662a7e542d558cd.jpg
bbe269a83627cc05e0a487d9eafe2174.jpg
9494ada02dc8b8b589a90abbade64e3b.jpg
bda4c326481d9153422adea7d11f8623.jpg
c5d8637d3db0852c5fdf1b46cbc0c8e2.jpg
Mwenye Peacock hotel sio Mkinga bali ni Mhehe,anaitwa Mfugale.
 
MK254,
Utani kidogo:
muhaya anayewakilisha wahaya wote wa jf kwa kuandika kwa kingereza ni huyu jamaa anajiita Rutashubanyuma.

sina hakika sana kama ni muhaya,huenda anatumia tu jina lenye ufanano na wahaya.
3aa295916ec6b4064e71ff9d1bf070ba.jpg

jamaa ana-topic yake hii hapa:Why Magufuli administration misses the point on government splurge
ukipata mda ipitie.

huko ni kingereza tu,tena sio kile cha kawaida tunacho jaribu kuandika akina sie,ni kile cha ma-jargon na
ma-synonym ambayo sio common sana kwa wazungumzaji wa kingereza.

kwa kuwa nipo opposite na opinion zake kuhusu JPM,niliamua nipambane naye kwa kiswahili tena kiswahili cha kihuni huku nikim-troll kidogo kidogo.[emoji23]

nikamwambie wewe andika tu hayo "majagoni" yako,nitakuwa nakujibu kwa kiswahili.

ikafika wakati akakasirika,akanichongea kwa moderator,hatimaye nikanyimwa access ya kuandika comment kwenye thread yake kwa muda wa siku kadhaaa.wahaya bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

ruta usinikasirikie,nimeandika kama utani tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aisei nimecheka kwa sauti hapa watu wananiona chizi, huo uzi wake naujua tena himo niliwahi kujitosa na kuandika mawili. Jamaa yuko sawa sana....
 
Mwenye Peacock hotel sio Mkinga bali ni Mhehe,anaitwa Mfugale.
sawa mzee wa busara...nilidhani ni mkinga.

hivi ni kweli hakuna mkinga mwenye kiwanda ukiachilia mbali maduka ya vifaa vya ujenzi wanayoyamiliki?
 
Why not? Unajua Mwenge toka Lugalo kwenda Mlimani city mpaka Makumbusho/Regent/Morocco ni center yenye biashara kubwa na pia prospect kubwa. Hapo acha Kawe city iliyopita U/C. Na itaipiku K'koo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisei nimecheka kwa sauti hapa watu wananiona chizi, huo uzi wake naujua tena himo niliwahi kujitosa na kuandika mawili. Jamaa yuko sawa sana....
jamaa ni shida sana yule...nadhani ana lala na dictionary ili aitumie kutafuta maneno magumu ya kingereza ili ayatumie katika thread yake.
 
Back
Top Bottom