Kenyan Artist: Mejja

Kenyan Artist: Mejja

Rugby Union

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
402
Reaction score
252
Mimi napenda rap katuni, staili iliyoasisiwa na kundi la Bongo Gangwe Mobb (Inspector Haroun na Luteni Karama). Staili hii huwa inahusisha kuimba mambo ya msingi katika maisha lakini kwa style ya kuchekesha na kufurahisa (non-serious aspect).
Kenya anayeimba kwa staili hii ni pamoja na Mejja, Trapii na Juacali kidogo...

Nawarambisha kidogo.
 
Last edited by a moderator:
asubuhi imefika naamka bila balaa, naweka mkeka chini napiga swala.....yaani ni sheeda!
 
Back
Top Bottom