Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tunaingiza vilipuzi ili mpate ushupavu wa kupambana na al shabbabu mana askari wenu wakisikia buuuu mbio [emoji125] [emoji125] [emoji125] wanazotimua hata bunduki wanazitupa [emoji15] [emoji15]Jamani serikali yetu ni bora iingilie kati hata ikiwezekna kampaka hapo namanga kafungwe kabisa...mitungi miwili ya mihan imelipuka hapo namanga leo hii,picha tutazileta humu later...waswahili sijui wanaingiza vilipuzi nchini ama vp![emoji191] [emoji90]