Tunaingiza vilipuzi ili mpate ushupavu wa kupambana na al shabbabu mana askari wenu wakisikia buuuu mbio [emoji125] [emoji125] [emoji125] wanazotimua hata bunduki wanazitupa [emoji15] [emoji15]Jamani serikali yetu ni bora iingilie kati hata ikiwezekna kampaka hapo namanga kafungwe kabisa...mitungi miwili ya mihan imelipuka hapo namanga leo hii,picha tutazileta humu later...waswahili sijui wanaingiza vilipuzi nchini ama vp![emoji191] [emoji90]
Let your market decide, not your emotions. Nobody transports sand to Sahara desert.We need gas from Mombasa only.
Nadhani HV sasa unatafuta mahali pa kulala hapo Mogadishu.Gesi ya tz, (lpg) haiamiki period, mitungi yao inatulipukia lipukia ovyo hovyo! Na wiki iliyopita nlitoa kauli humu gesi humo ndani yaweza kuwa ni ushuzi wao...anyway leo Taifa Stars ina mechi na ikiifunga Bafana Banafa wazee wa ishibobo ntahamia Mogadishu..... kipigo cha lazima!![emoji2] [emoji2] teh teh teh
Gesi ya tz, (lpg) haiamiki period, mitungi yao inatulipukia lipukia ovyo hovyo! Na wiki iliyopita nlitoa kauli humu gesi humo ndani yaweza kuwa ni ushuzi wao...anyway leo Taifa Stars ina mechi na ikiifunga Bafana Banafa wazee wa ishibobo ntahamia Mogadishu..... kipigo cha lazima!![emoji2] [emoji2] teh teh teh