Kenyan Banks dominates mortgage lending in Tanzania

Sasa mbona hii ndio insaidia tunazidi wapiku. Tutawapiku tu mazee. Enjoy and mock while it last

Can you imagine benki ya Tanzania iingie kwenye soko la Kenya na ku dominate morgage lending ama loans? Kila siku tunawaambia kutufikia itachukua miaka mingi sana mnapinga, haya basi, endeleeni kutupiku.
 
tena siku hizi wanawapa mpaka walinzi
 
Hawa wa benk za kenya wanawapa mpaka mpaka walinzi mikopo,nina jamaa yangu jana kapata mkopo equity
 
Hawa wa benk za kenya wanawapa mpaka mpaka walinzi mikopo,nina jamaa yangu jana kapata mkopo equity
Bora upeleke good business plan ya kuonyesha vile utatumia hizo pesa kuregesha faida, equity watakupatia mkopo
.. hivyo ndo equity ilijijenga, kwa kuinua wananchi wa chini kabisa bila kujali hali yao ya kifedha.... ndo maana Equity ndo banki ilio na wateja wengi zaidi kuliko banki yoyote Africa
 
Can you imagine benki ya Tanzania iingie kwenye soko la Kenya na ku dominate morgage lending ama loans? Kila siku tunawaambia kutufikia itachukua miaka mingi sana mnapinga, haya basi, endeleeni kutupiku.
A typical Kenyan asiye na shukrani huyu, sasa kama u have this good market for your banks what then, ?
Huelewi we are your real bosses, we are making your banks prosperous.
What if tukiachana na Kenyan banks, tukatengeneza figisu tukapiga ban..(of which we can do it),?
 
Can you imagine benki ya Tanzania iingie kwenye soko la Kenya na ku dominate morgage lending ama loans? Kila siku tunawaambia kutufikia itachukua miaka mingi sana mnapinga, haya basi, endeleeni kutupiku.
...that means kuna soko la uhakika Tz, and easy place to do bussines,
Leteni hizo bank nyingine , mtulipe kodi yetu na muajiri watu wetu..
Au ulitaka banks zenu zipate hasara?
 
Hahahaha usijidanganye mkuu, hiyo benki inabenefit wabongo itapigwa ban kwa nini? ama ni ule ukatili wa Yohana mtakatifu? Equity ili revolutionize banking in Kenya mnaihitaji huko itawasaidia sana, and no you are not our bosses, you can't be. Mkifungua benki zenyu ama supermarkets or whatever big companies you employ our locals, then you will be our bosses but before that, unajidanganya mkuu.. and don't think you are doing equity bank a favour, it's competitiveness which makes your fellow countrymen opt to take loans and mortgage from it and avoid your local banks.
 
🙄 very stupid backward thinking. This right here (IN RED) is the reason why Tz remains how it is. The outrageous ridiculousness that y'all display in the name of opining is unforgivable. Kindergartners!!
 
Mzee umekamia hatari, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Don't panic boss,
Tell other banks to come & invest in Tz,
The environment is so conducive here.. tumewawekea mazingira poa sana from security to manpower!
Provided they pay TAX and give employment to tzs!!
 
kaka wala hata sikubishii,na equity bank,watafika mbali xn
 
For real no articles without citing the source.

This is where the silly argument end.

Hard to argue against these facts without coming off stupid or desperate or both

Hapa Leo all you kenya haters mtakoma tu!!!
Or just analyze the pasted story and see whether there are any links within it. My goodness.

My thought exactly! nlikuwa nashindwa duh! si link imebandikwa hapo juu. But I guess hawakuiona.
Lkn umenimaliza na hiyo coment lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…