Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,348
- 733
Sasa mbona hii ndio insaidia tunazidi wapiku. Tutawapiku tu mazee. Enjoy and mock while it last
Can you imagine benki ya Tanzania iingie kwenye soko la Kenya na ku dominate morgage lending ama loans? Kila siku tunawaambia kutufikia itachukua miaka mingi sana mnapinga, haya basi, endeleeni kutupiku.