COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Hivi hapo umeona seat hata ya abiria mmoja ?? 😀😀 Be serious na habari mnazoleta humu
The Kenyan behind this is Morris Mbetswa.This would ease traffic he got the support of mike mbuvi sonko
Habana machezo. Chezea Kenya weye. Congrats my people.
The Kenyan behind this is Morris Mbetswa.This would ease traffic he got the support of mike mbuvi sonko
Wako testing phase. Tulia . Hata airbus huwa haina viti wakati inatengenezwa.Hivi hapo umeona seat hata ya abiria mmoja ?? 😀😀 Be serious na habari mnazoleta humu
Haha, kelele zote hizi za nini? Nitag akipata kibali cha KCAA. Mnafikiri kurusha vitu hewani ni kama kurusha mawe.Wapi Mwanzi1 huwa anaongea matope kuhusu Kenyan innovation. Tiririka hapa ujionee maajabu.
Wewe nae na hii satellite huni hata aibu kushikilia viji-project vya kitoto kama hivi? Hizo satelite za "kibiriti" ni project za watoto wa high school nchi fulani. Jaribu ku Google haya maneno ya hapa chini.Hongera sana, juzi tumerusha satellite, haya kifaa kingine hiki.
Japo hiyo video ningeomba mbadilishe wimbo wa sountrack muweke huu hapa
Sasa ona. Kwa kucriticize tu, uko mbele. Lakini kwa kuencourage watu uko zero. Try to balance criticism with encouregement.Haha, kelele zote hizi za nini? Nitag akipata kibali cha KCAA. Mnafikiri kurusha vitu hewani ni kama kurusha mawe.
BTW the guy amejitahidi I'll give him that, japokuwa the information to build these kind of drones is widely available online.
Jamaa bado ana mwendo mrefu sana mpaka atimize ndoto yake. Rules za civil aviation ziko strict sana, huwezi kurusha kitu na mtu ndani kama hakiko 100% safe hata kama ni flight test.
Kwa kuangalia na macho tu, naona kuna mambo mengi hajakamilisha. Sijuwi bajeti yake ikoje, lakini najuwa pesa nyingi itakwenda kwenye battery, cabin and super cool motors plus motor blades. Hizo motor somehow hazijatulia for smooth take off and landing human. Nadhani blades zinatakiwa kuongezeka diameter few inches.
For pete's sake, tell those guys to protect themselves, mtu anasogelea full rotating blade at 3000rpm utafikiri anaweza kununua maisha dukani. SMH
Wew na wew kesi ya fisi unampa swala aamue hao unaowaambia uchaguzi ukifika watakuja kuomba hifadhi ya ukimbizi hukuHongera sana wakenya, you guys are east africa's leading frontier on technology.
Sisi huku tz tuna mradi wa kikundi cha watu wasiojulikana kinachoua wapinzani na kukamata wanaomtukana rais mitandaoni. maendeleo kwetu siyo muhimu kwa sasa.
The Kenyan behind this is Morris Mbetswa.This would ease traffic he got the support of mike mbuvi sonko
The Kenyan behind this is Morris Mbetswa.This would ease traffic he got the support of mike mbuvi sonko
ataziunda mingi na itasaidia sana..wewe umewai sikia mmuhindi anaitwa mbetswa?Asilimia ngapi ya wana Nairobi wanaweza kutumia hiyo? Au uko hapa kujivunia utajiri wa Muzungu na Muhindi ndani ya nchi yako wakati wewe na watu wako ni masikini?
Nilikuwa Nairobi a nilishangaa kuona watu wengi wanatembea kwenda kazini sababu hawawezi kumudu nauli ya Dala dala!
ataziunda mingi na itasaidia sana..wewe umewai sikia mmuhindi anaitwa mbetswa?