Kenyan builds a passenger drone to be used in Nairobi ,The first in Africa

Kenyan builds a passenger drone to be used in Nairobi ,The first in Africa

kenya passenger drone?[emoji23][emoji23] whats is drone kwanza tuanze hapo...maana sijawai sikia passenger drone
 
unaeza tumia google kaka blaza
drone ni kifaa anga ambacho akitumii rubani kuendesha au kuongoza bali kinatumia mwongozo wa mtu kutoka chini ya ardhi
Dunian akuna drone inayo safirish binadamu na kama hyo passenger drone yetu ikiwa na mwongozaji ndani ain maana y kuita drone tena.
 
Tatizo lako ni abiria au rubani.
 
Wewe nae na hii satellite huni hata aibu kushikilia viji-project vya kitoto kama hivi? Hizo satelite za "kibiriti" ni project za watoto wa high school nchi fulani. Jaribu ku Google haya maneno ya hapa chini.

high school satellite project

Nahofu kama ulifaulu kulala baada ya povu zote hizi.
 
Sasa ona. Kwa kucriticize tu, uko mbele. Lakini kwa kuencourage watu uko zero. Try to balance criticism with encouregement.

Duh nikisema ukweli mnasema criticism, nikema uwongo mnasema siko balanced. Sasa wajameni niseme nini?
 
drone ni kifaa anga ambacho akitumii rubani kuendesha au kuongoza bali kinatumia mwongozo wa mtu kutoka chini ya ardhi
Dunian akuna drone inayo safirish binadamu na kama hyo passenger drone yetu ikiwa na mwongozaji ndani ain maana y kuita drone tena.

Bora hata wewe uwaelimishe hawa jamaa. wanaona vitu kwenye mitamdamo wanapachika maneno yasio stahiki.
 
Good job young man....I hope the engineering community around the world recognizes your efforts and make Africa proud. I pray you get expert guidance from someone in your field so that you achieve your dreams...Bravo...
 
Back
Top Bottom