COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
-
- #21
haha mimi ni mkenya na ntafaidika ata wewe ukikuja Nairobi utaitumiaItamsaidia nani? Wewe na Wakenya wenzako weusi siyo mmoja wa watakaonufaika!
haha mimi ni mkenya na ntafaidika ata wewe ukikuja Nairobi utaitumia
unaeza tumia google kaka blazakenya passenger drone?[emoji23][emoji23] whats is drone kwanza tuanze hapo...maana sijawai sikia passenger drone
Hongereni angalau ni hatua kuelekea mahali fulani.ataziunda mingi na itasaidia sana..wewe umewai sikia mmuhindi anaitwa mbetswa?
drone ni kifaa anga ambacho akitumii rubani kuendesha au kuongoza bali kinatumia mwongozo wa mtu kutoka chini ya ardhiunaeza tumia google kaka blaza
yeah ata waliounda ndege walianza hiviHongereni angalau ni hatua kuelekea mahali fulani.
drone ni kifaa anga ambacho akitumii rubani kuendesha au kuongoza bali kinatumia mwongozo wa mtu kutoka chini ya ardhi
Dunian akuna drone inayo safirish binadamu na kama hyo passenger drone yetu ikiwa na mwongozaji ndani ain maana y kuita drone tena.
Wewe nae na hii satellite huni hata aibu kushikilia viji-project vya kitoto kama hivi? Hizo satelite za "kibiriti" ni project za watoto wa high school nchi fulani. Jaribu ku Google haya maneno ya hapa chini.
high school satellite project
aina haja ya kuitaji kubreak internet kwa ujinga uwezi hita droneTatizo lako ni abiria au rubani.
tumia google vizuriaina haja ya kuitaji kubreak internet kwa ujinga uwezi hita drone
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sasa ona. Kwa kucriticize tu, uko mbele. Lakini kwa kuencourage watu uko zero. Try to balance criticism with encouregement.
drone ni kifaa anga ambacho akitumii rubani kuendesha au kuongoza bali kinatumia mwongozo wa mtu kutoka chini ya ardhi
Dunian akuna drone inayo safirish binadamu na kama hyo passenger drone yetu ikiwa na mwongozaji ndani ain maana y kuita drone tena.
Nahofu kama ulifaulu kulala baada ya povu zote hizi.
hivi wewe umeelewa point yangu? maana unakichwa kigumu sana weweTatizo lako ni abiria au rubani.