Kenyan delegation on a learning tour at the East Africa's most modern airport, JNIA

kaa mkao wa kula in 2 years time mta-visit huku pia

 
Modern airports huwa na traffic za maana plus experience za juu.
 
ata terminal II is being renovated! the guy is an architect na yupo na wenzie nita-post more videos! Na hata kama wako under EAC still haiondoi Ukenya wao!
Kwa hiyo unataka kutuambia nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo unataka kusrmaje??

HAta mimi naweza nikawaletea tweets na video za watu wakisifu JKIA........ lakini kwa mtu ambaye anaijua JKIA anajua ni Terminal mbili ndo ni modern hapo JKIA, ukishka hizo terminal nyengine za kitambo hali ni Tofauti sana!



Hebu niambieni, mgeni akishuka kwa hii Terminal mpya pale JKIA atasemaje?



business class section











Lakini kama unavyoona hapa kwa hii map


Terminal 1A Ni ya Kenya airways pekee na ndege za Sky Team Allaiance, kama kampuni ya ndege haiko kwa Sky-Team basi hautatumia T1A... whichi mans utatumia Terminals za kitambo.


The same thing iko huko JNIA hapo Dar, Ukishuka kwa hio Terminal mpya utabaki ukisifia lakini msisahau kwamba kuna Termina za kitambo bado zinatumika....


Hapa EAC ni Kigali pekee ambayo iko na airport ambayo yote ni modern haijalishi unasafiri na ndege gani, lakini kwa sisi ambao tulianza kitambo, kuna sehemu zengine za airport zimechoka, inalingana na ndege utakayo safiri nayo iko gate gani ya airport.
 
level yake



 
Acha kulazimisha mambo, huyo mkenya mwenzako hata hii terminal yenu pia anaijua, lakini alivyolinganisha na JNIA, ndio amefikia hiyo " conclusion ", kwamba JKIA yote kwa pamoja, ni aibu tupu ukilinganisha na " ultra modern JNIA.
 
Kwa hiyo unataka kujaribu kufananisha hili gofu lenu na terminal yetu mpya ya kisasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yani hata Midanganyika Wajenge namna gani Bado Rwana imewashinda tu??/
 
Acha kulazimisha mambo, huyo mkenya mwenzako hata hii terminal yenu pia anaijua, lakini alivyolinganisha na JNIA, ndio amefikia hiyo " conclusion ", kwamba JKIA yote kwa pamoja, ni aibu tupu ukilinganisha na " ultra modern JNIA.
Hio terminal 1A inaelekea miaka sita sasa tangu ianze kufanya kazi wakati hio yenu ndo imezinduliwa... Wakati tuli zindua yetu ilifanya JKIA for the first time kukua ranked kwa top 5 best airports in Africa!!!!! Lets see you achieve such a fete ndo uje tuongee
 
try to host A380 to even dare to compare jkia to A380

Punguza ushamba jameni

-------------------------
The A380 was specifically designed to use the currently existing worldwide runway structure. Its landing gear is designed to accommodate the standard 150-foot-wide runway and the weight-bearing capacity of runways at most major airports. Generally speaking, if airplanes like the Boeing 747, Airbus A340, and C-17 can use the runway, then so can the A380.

The A380 was also designed to have takeoff and landing speeds that are compatible with typical runway lengths. In fact, the A380 often uses less runway than other, smaller airplanes.

The biggest issue with the A380’s size involves airport gates, taxiing surfaces, and other airport facilities. The A380 might be able to land or takeoff, but accessing the airport facilities is a bit more difficult. Many airports have had to make special accommodations for its size just so the airplane has a place to park and load/unload passengers. The A380’s gigantic wingspan also impacts the movement of other airplanes near it at busy airports.

-----------------
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…