HAta mimi naweza nikawaletea tweets na video za watu wakisifu JKIA........ lakini kwa mtu ambaye anaijua JKIA anajua ni Terminal mbili ndo ni modern hapo JKIA, ukishka hizo terminal nyengine za kitambo hali ni Tofauti sana!
Hebu niambieni, mgeni akishuka kwa hii Terminal mpya pale JKIA atasemaje?
View attachment 1272498
View attachment 1272500View attachment 1272502
View attachment 1272503
business class section
View attachment 1272504
View attachment 1272505View attachment 1272506
View attachment 1272509
Lakini kama unavyoona hapa kwa hii map
Terminal 1A Ni ya Kenya airways pekee na ndege za Sky Team Allaiance, kama kampuni ya ndege haiko kwa Sky-Team basi hautatumia T1A... whichi mans utatumia Terminals za kitambo.
The same thing iko huko JNIA hapo Dar, Ukishuka kwa hio Terminal mpya utabaki ukisifia lakini msisahau kwamba kuna Termina za kitambo bado zinatumika....
Hapa EAC ni Kigali pekee ambayo iko na airport ambayo yote ni modern haijalishi unasafiri na ndege gani, lakini kwa sisi ambao tulianza kitambo, kuna sehemu zengine za airport zimechoka, inalingana na ndege utakayo safiri nayo iko gate gani ya airport.