Kenyan economy is not sick, it is dead

Huyo MZEE wa kwanza kuzungumza ameamua kujitoa mhanga, liwalo naliwe, anasema kwa uchungu sana, kwamba "Heri kufa kuliko kuishi Kenya", huo ndio ukweli, Kenya watu wanateseka sana. Soma " comments za wakenya hapo chini.
 
Ifike mahali Mheshimiwa Rais uache tabia yako ya kuchukia watu wanaokosoa miradi yako na kusema eti ni mpiga dili au fisadi. Inamana kwamba hata muuza mchicha fungu mia mbili na alikuwa ni fisadi? Mbona kituko hiki!

Ifike mahali Mh. Rais uache kusikiliza wapambe hao wanaosema wanasimama na wewe, wanakudanganya. Pia uache uongo mara kwa mara kuwadanganya Watanzania. Hii kitu inakera na haipendezi. Rais unaomba Watanzania wakuombee halafu unakuwa muongo muongo.

Mnakuwa mna maana gani au mnatupeleka wapi jamani?

Mfano, yaliyotokea kwenye korosho wewe na Waziri wako mlisema mmelipa madeni yote wakati sio kweli.

Sio kwamba watu wanabeza miradi yako, tatizo hamzingatii vipaumbele mlivyohaidi kwa wananchi, vipaumbele ambavyo vitamgusa moja kwa moja Mtanzania.

Iko wapi Tanzania ya viwanda mpaka leo? Sector ambayo ingeenda kuajiri asilimia kubwa ya vijana.

Tunakuomba Rais uzungumze na vijana utoe neno la kuwatia moyo vijana ili wajue mahali mnapowapeleka, hali inazidi kuwa ngumu na vijana wanapata tabu sana awamu hii - sio ajira, kilimo wala biashara - mambo ni magumu hatuoni wawekezaji ambao wanaweza kuchochea uchumi wa taifa wala hatuoni dalili ya Tanzania ya Viwanda.
 
Kama wanauziwa hadi kachumbari, tomato sauce si ni Hatari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukinunua zako nyama choma au chipsi itakubidi uwe na Pesa ya kachumbari na tomato sauce.
 
Coming from CCM bootlickers who only have one underwear and only a meal in a day
 
Kama wanauziwa hadi kachumbari, tomato sauce si ni Hatari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukinunua zako nyama choma au chipsi itakubidi uwe na Pesa ya kachumbari na tomato sauce.
Tuimbe mapambio ndugu hela hakuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania SGR project will delay for at least 6 months time due to many factors. The trains may start to operate earlier but to get all necessary documentations might require additional time to be resolved. Passengers might start using the trains by May - June 2020.

First phase of Dar SGR likely to miss deadline
 
Mtangoja sana huku mkiendelea kurudi utumwani.
 
Watulie Uhuru anajenga nchi.wametumwa na mabeberu hao wanaolalamika
 
that SGR of a thing is even hot air,by 2020 that will not have started
 
that SGR of a thing is even hot air,by 2020 that will not have started
Kwanini mnamlaumu Rotich kutokana na kusambaratika kwa uchumi wenu?, kwani yeye ndiye rais wa nchi?
 
Baba, ukiambiwa Tanzania ya viwanda haimaanishi serikali ndo italeta viwanda vyote, inamaanisha na nyie wananchi msaidie nchi ifike hio sera, alafu serikali haiongozi maisha ya watu we ndo unaongoza maisha yako mwenyewe, we ndo mwenye dira na maisha yako,, kunaweza kua na sera za viwanda lakini wewe ukajishushulisha na vitu vingine tafaut,
 
Kama wanauziwa hadi kachumbari, tomato sauce si ni Hatari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukinunua zako nyama choma au chipsi itakubidi uwe na Pesa ya kachumbari na tomato sauce.
Aiseee hii ni kweli?!?
 
Umeandika insha nzuri sana...sasa huu uzi umeuletea nn km serikali haiongozi maisha ya watu bali ni watu wenyewe wanatakiwa wajitengezee mazingira[emoji1787][emoji1787]

Mbona turkana watu wakikumbwa na ukame nynyi ndio wa kwanza kuilaumu serikali ya kenya...nakwambia mtaisoma namba
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ daaaah
mpk tomato sauce?? hatari sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kama huku kwetu unapewa tomato sauce unajiwekea ya kutosha mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…