stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
- Thread starter
- #21
Umeandika insha nzuri sana...sasa huu uzi umeuletea nn km serikali haiongozi maisha ya watu bali ni watu wenyewe wanatakiwa wajitengezee mazingira[emoji1787][emoji1787]
Mbona turkana watu wakikumbwa na ukame nynyi ndio wa kwanza kuilaumu serikali ya kenya...nakwambia mtaisoma namba
sisi tunaongelea swala la dira hatuongelei swala la njaa. afterall, even to the worse stage you think Tanzania can be, 1M people can never die from hunger,