Kenyan girl,12, wins 'Little Miss World' title in Greece

Kenyan girl,12, wins 'Little Miss World' title in Greece

Tekno,anasem mi Kenyan girl. Ohhhoo.Kenya big up san

Kenya wako vizuri,wametutangulia,its true...siwezi kukaa hapa naanza kuwaonea wivu na kuwatolea maneno ya kinafiki KE sababu tu wametuzidi,....Ni fundisho tukomae tuwapite na sisi...

Sasa ukikutana na majitu ya CCM utashangaa hilo povu...kenya this,kenya that.....TZ tutapata maendeleo tukiiiondoa CCM madarakani,ndio tatizo hili..ngoja tukomae!
 
Na miss world tulikua number 5 overall, Tumeanza kuelewa haya mambo tunajua ni nini haswa hawa majaji hua wanatafuta, watanzania bado wanafikiri kushinda Miss world ni mmpeleke binti mweupe mwenye nywele za kihindi
 
Back
Top Bottom